JF imekusaidia kupata mwenzi wa maisha?

JF imekusaidia kupata mwenzi wa maisha?

Nimeona Mkuu, Huyu Atoto Namuandalia Kampeni Matata tena Eli79 atakuwa Meneja Kampeni
Eli79 darling ex njoo utoe go ahead huku jamani, mbona kunizibia rizki hivi?
 
Last edited by a moderator:

Tatizo ni wivu darling ex...wivu unauwa ujuwe...naanzaje kufikiri ex darling ukiwa faragha kwa mfano!!
 
Last edited by a moderator:
Nimeona Mkuu, Huyu Atoto Namuandalia Kampeni Matata tena Eli79 atakuwa Meneja Kampeni

Dogo..wengi wamekuja na kuondoka. Hii mali wameiacha kama ilivyo, nikitaka tu nanyanyua simu naletewa hadi home!
 
Tatizo ni wivu darling ex...wivu unauwa ujuwe...naanzaje kufikiri ex darling ukiwa faragha kwa mfano!!

Sasa darling ex si unaniruhusu tu ila ukinihitaji naja?

Dogo..wengi wamekuja na kuondoka. Hii mali wameiacha kama ilivyo, nikitaka tu nanyanyua simu naletewa hadi home!

We nibanie tu, nitazeeka alone ujue!!
 
Back
Top Bottom