ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,116
- 5,370
Kuna mmoja amenifata PM, kasema yupo tayari lakini swali lake la kwanza a/c yangu ina kiasi gani cha pesa.
ulichopost kinatosha kabisa kwa mtu mwingine kufahamu uwezo wako wa kufikiri....

Wako ulimtoa badoo au twoo?Nimecheka sana daaa
hahahahahaha!
Kuna mmoja amenifata PM, kasema yupo tayari lakini swali lake la kwanza a/c yangu ina kiasi gani cha pesa.
humu jf hamna wake au wachumba niulize mimi nilitanga na wakapatikana kam kumi hiv nikachaguwa nikawafanyia interview nikampata mmoja aisee kumbe ni tapel ,,, humu ndani hamna wake wala wachumba
ulichopost kinatosha kabisa kwa mtu mwingine kufahamu uwezo wako wa kufikiri....
Mleta uzi kuwa macho kwani humu kuna majini.Uwe tayari kulituliza ukilipata.Just a mere joke,jitahidi utapata mkuu😀😀
Ungemuuliza Kwani Anauza, nadhani Lingekuwa jambo Zuri Sana
sidhai kwa humu jf mmmmmmmh
Nimepata humu na nina watoto wawili sasa........swali jingine.Hivi yupo aliyefanikiwa kupata Mpenzi/mke kupitia JF?
Kama wapo nahitaji kufahamu, maana hata mimi nafikiria kufanya hivyo.
Lakini hadi nipate uhakika kwa waliokwisha thubutu.
kumbe inawezekana!
ha ha ha ha thanks sir/madam