JF imeingiliwa na Chawa

JF imeingiliwa na Chawa

Merchante

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2017
Posts
1,458
Reaction score
3,011
Mimi si mgeni humu JF,japo si mkongwe sana. Kwa mara ya kwanza nilijiunga rasmi JF 2013,na nilibadili ID 2015 na hii mpya niliibadili mnamo mwaka 2017.
Nakumbuka JF ilikua "Home of great thinkers" haswaa!,hawa Chawa sijui viwavi jeshi hawakuwepo kwa wingi.

Na hili wimbi la Chawa kuongezeka humu JF ni kati ya 2021 mpaka sasa.
Chawa wamekua wakianzisha anzisha tu nyuzi za mapambio yasiyo na tija (sijajua wanalipwa TSH ngapi kwa kila bandiko la uchawa,ila wamejaa sana humu kiasi kwamba wanakera,wanazingua,wanakwama parefu asee!!

Kwa mfano lile Jukwaa la Siasa wamejaa hawa Kupe mpaka sio poa,inafikirisha kuona Zee la miaka 50s-70s liko bize kuchapisha uzi wa kusifia tu bila tija,huu ni Uzwazwa.

Nakumbuka JF ya kipindi hicho unakutana na nondo za Lumumba,Bark (kama sijakosea spelling), Mshana Jr Pascal Mayalla. Bila kumsahau Deception, Chief Mkwawa,n.k.

Ushauri wangu kwa mods,kama kuna namna ya kuwapunguza hawa Chawa humu fanyeni,wanapoteza mvuto wa JF mpaka kwa sasa inaonekana kama ni miongoni mwa uwanja wa Chawa kuja kuruka ruka.

Chawa mnaruhusiwa kuja kujibanza katika huu uzi.
 
Chawa wamekua wakianzisha anzisha tu nyuzi za mapambia yasiyo na tija (sijajua wanalipwa TSH ngapi kwa kila bandiko la uchawa,ila wamejaa sana humu kiasi kwamba wanakera,wanazingua,wanakwama parefu asee!!

Kwa mfano lile Jukwaa la Siasa wamejaa hawa Kupe mpaka sio poa,inafikirisha kuona Zee la miaka 50s-70s liko bize kuchapisha uzi wa kusifia tu bila tija,huu ni Uzwazwa.

Nakumbuka JF ya kipindi hicho unakutana na nondo za Lumumba,Bark (kama sijakosea spelling), Mshana Jr Pascal Mayalla. Bila kumsahau Deception, Chief Mkwawa,n.k.

Ushauri wangu kwa mods,kama kuna namna ya kuwapunguza hawa Chawa humu fanyeni,wanapoteza mvuto wa JF mpaka kwa sasa inaonekana kama ni miongoni mwa uwanja wa Chawa kuja kuruka ruka.

Chawa mnaruhusiwa kuja kujibanza katika huu uzi.
Chawa mnaruhusiwa kuja kujibanza katika huu uzi.😂
Waache tu muda huu maana mhuni mwenzao kachomoa batery
 
Hao greitithinkasi ndiyo hao hao wenye vi aidi vya ajabu sema haujaujua mchezo tu.

Halafu ugeretithinka wa mtu unategemeana na uwezo wako wa kufikiria....mfano mimi nina akili saana sema uwezo wako wa akili.
Brother Daby kwanza nikupe heshima yako👊. Pili,kama ni hawa GT ndio wanafanya hii kichezo ya Kichawa na Mapambio basi bado tuna safari ndefu sana kama taifa.
 
Mimi si mgeni humu JF,japo si mkongwe sana. Kwa mara ya kwanza nilijiunga rasmi JF 2013,na nilibadili ID 2015 na hii mpya niliibadili mnamo mwaka 2017.
Nakumbuka JF ilikua "Home of great thinkers" haswaa!,hawa Chawa sijui viwavi jeshi hawakuwepo kwa wingi.

Na hili wimbi la Chawa kuongezeka humu JF ni kati ya 2021 mpaka sasa.
Chawa wamekua wakianzisha anzisha tu nyuzi za mapambio yasiyo na tija (sijajua wanalipwa TSH ngapi kwa kila bandiko la uchawa,ila wamejaa sana humu kiasi kwamba wanakera,wanazingua,wanakwama parefu asee!!

Kwa mfano lile Jukwaa la Siasa wamejaa hawa Kupe mpaka sio poa,inafikirisha kuona Zee la miaka 50s-70s liko bize kuchapisha uzi wa kusifia tu bila tija,huu ni Uzwazwa.

Nakumbuka JF ya kipindi hicho unakutana na nondo za Lumumba,Bark (kama sijakosea spelling), Mshana Jr Pascal Mayalla. Bila kumsahau Deception, Chief Mkwawa,n.k.

Ushauri wangu kwa mods,kama kuna namna ya kuwapunguza hawa Chawa humu fanyeni,wanapoteza mvuto wa JF mpaka kwa sasa inaonekana kama ni miongoni mwa uwanja wa Chawa kuja kuruka ruka.

Chawa mnaruhusiwa kuja kujibanza katika huu uzi.
Kwakweli too much
 
Write your reply...mtoa uzi ni shoga anajulikana jina lake halisi ni harith anaishi bagamoyo
 
Back
Top Bottom