JF imeingiliwa na Chawa

JF imeingiliwa na Chawa

Mimi si mgeni humu JF,japo si mkongwe sana. Kwa mara ya kwanza nilijiunga rasmi JF 2013,na nilibadili ID 2015 na hii mpya niliibadili mnamo mwaka 2017.
Nakumbuka JF ilikua "Home of great thinkers" haswaa!,hawa Chawa sijui viwavi jeshi hawakuwepo kwa wingi.

Na hili wimbi la Chawa kuongezeka humu JF ni kati ya 2021 mpaka sasa.
Chawa wamekua wakianzisha anzisha tu nyuzi za mapambio yasiyo na tija (sijajua wanalipwa TSH ngapi kwa kila bandiko la uchawa,ila wamejaa sana humu kiasi kwamba wanakera,wanazingua,wanakwama parefu asee!!

Kwa mfano lile Jukwaa la Siasa wamejaa hawa Kupe mpaka sio poa,inafikirisha kuona Zee la miaka 50s-70s liko bize kuchapisha uzi wa kusifia tu bila tija,huu ni Uzwazwa.

Nakumbuka JF ya kipindi hicho unakutana na nondo za Lumumba,Bark (kama sijakosea spelling), Mshana Jr Pascal Mayalla. Bila kumsahau Deception, Chief Mkwawa,n.k.

Ushauri wangu kwa mods,kama kuna namna ya kuwapunguza hawa Chawa humu fanyeni,wanapoteza mvuto wa JF mpaka kwa sasa inaonekana kama ni miongoni mwa uwanja wa Chawa kuja kuruka ruka.

Chawa mnaruhusiwa kuja kujibanza katika huu uzi.
Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi.
 
Mwacheni leo kisukari kimepanda
Huyu jamaa juzi kwenye uzi wake aliyojifanya ana mjibu Polepole nilimtoa knock out kwenye comments zake. Yule jamaa kapitia makuzi ya kikatili sana na ndio maana mpaka sasa ana praise mtu ambaye hana hata impact kwenye maisha yake
 
Write your reply...mtoa uzi ni shoga anajulikana jina lake halisi ni harith anaishi bagamoyo
Usitafute Wafuasi mzee,kama wewe ni mchicha mwiba a.k.a Sigara kali nyuma kuko wazi mbele kuko wazi usitamani kila mtu ashiriki na wewe katika huo ushirika wako. Pole sana mdau!
 
Nakumbuka JF ilikua "Home of great thinkers" haswaa!,hawa Chawa sijui viwavi jeshi hawakuwepo kwa wingi.
Walikuwepo sana, hawa huwa wanatumwa na wanamtandao kuweka mambo sawa.

Unakumbuka kipindi cha JK, wakati wa uchaguzi wa 2010 na hasa skendo za zaufisadi ziliposhamiri, walikuja wakina Zomba, Faizafoxy na wakati wa ishu ya gesi ya mtwara akaja The BIG Show, wote hawa ni chawa.
 
Mimi si mgeni humu JF,japo si mkongwe sana. Kwa mara ya kwanza nilijiunga rasmi JF 2013,na nilibadili ID 2015 na hii mpya niliibadili mnamo mwaka 2017.
Nakumbuka JF ilikua "Home of great thinkers" haswaa!,hawa Chawa sijui viwavi jeshi hawakuwepo kwa wingi.

Na hili wimbi la Chawa kuongezeka humu JF ni kati ya 2021 mpaka sasa.
Chawa wamekua wakianzisha anzisha tu nyuzi za mapambio yasiyo na tija (sijajua wanalipwa TSH ngapi kwa kila bandiko la uchawa,ila wamejaa sana humu kiasi kwamba wanakera,wanazingua,wanakwama parefu asee!!

Kwa mfano lile Jukwaa la Siasa wamejaa hawa Kupe mpaka sio poa,inafikirisha kuona Zee la miaka 50s-70s liko bize kuchapisha uzi wa kusifia tu bila tija,huu ni Uzwazwa.

Nakumbuka JF ya kipindi hicho unakutana na nondo za Lumumba,Bark (kama sijakosea spelling), Mshana Jr Pascal Mayalla. Bila kumsahau Deception, Chief Mkwawa,n.k.

Ushauri wangu kwa mods,kama kuna namna ya kuwapunguza hawa Chawa humu fanyeni,wanapoteza mvuto wa JF mpaka kwa sasa inaonekana kama ni miongoni mwa uwanja wa Chawa kuja kuruka ruka.

Chawa mnaruhusiwa kuja kujibanza katika huu uzi.
Pumba tupu.
 
Back
Top Bottom