Jf ilinikutanisha na tapeli wa mapenzi

Wasio wakweli wapo mahali pengi ,si Jf tu.Kimsingi hukufanya uchunguzi vizuri kama kumjua vizuri,anaishi wapi,tabia yake,ndugu na jamaa wa karibu n.k.Hukufanya hayo unajua kwa nini? Ni g/f wa huyo jamaa ndiye aliekushtua la sivyo ungekamatwa tu.

Niulize huyo ex wako ni: Ni Member,senior member, senior expert member au premium member? kuna ka-utafiti kadogo nafanya!
 
Hapa mkuu umenena kuna kesi nyingi binti analengesha apate mimba ili umuoe na ni wazi umemwambia mtu mcheze kidalipo pasipo kuja kuishi pamoja sasa mtu analengesha mimba na kushinikiza umuoe

sasa hapo unajifunga mabomu .. maana hujui hata afya ya mhusika ikoje
 
Pole Nakadori, mitandao hasa hii ya kijamii haifai, hebu cheki hii video Clip uone jamaa alivyokutana na Jini mtandaoni
 
Last edited by a moderator:
duh nimebaki naduwaa.....huyo dada amejuaje kuwa unataka kuanzisha mahusiano na huyo kaka mpaka akufuate???.......lol pole lakini....mie nahisi ungemtaja humu tumjue...NAME AND SHAME HIM????????????????........kazi kuvizia tu humu hana haya loh,ukute kashawadanganya kibao kwa gia ya ndoa....mmmmmmnh......

Yes ingesadia sana lkn pia itavunja mwiko wetu ...............huruhusiwi kutoa hadharani mazungumzo ya PM! ama nakosea?
 
si umesema hujatoa tunda? sasa woga wa nini?

Kwani asiyetoa tunda hapaswi kusoma? mbona unamhukumu mtu bila sababu?jiangalie sana kwani ajidhaniaye amesimama mara nyingi huanguka. Naka sio wa kwanza kukutana na mikasa ya jamii forum, wapo wengi ila hawajawahi kuwa na ujasiri wa kuyamwaga hapa.
 
Wasio wakweli wapo mahali pengi ,si Jf tu.Kimsingi hukufanya uchunguzi vizuri kama kumjua vizuri,anaishi wapi,tabia yake,ndugu na jamaa wa karibu n.k.Hukufanya hayo unajua kwa nini? Ni g/f wa huyo jamaa ndiye aliekushtua la sivyo ungekamatwa tu.

Niulize huyo ex wako ni: Ni Member,senior member, senior expert member au premium member? kuna ka-utafiti kadogo nafanya!

Una uhakika hakufanya hivyo? kitendo cha kukaa muda wote huo bila kuduu ndo walikuwa wanasomana hivyo au wewe ulitaka amsome vipi?lakini pia angejuaje kama ana mtu wakati msichana wake yuko mkoani na huenda kila wakikutana hakuna kitu cha kumtia wasiwasi?.Ngoja tumsubiri mwenyewe aje ajibu,
 
lakini mhusika ndo anayesababisha adanganywe ...
 
Pole sana,ila kwa nini alifunga friendlist zake hauzion,wala kupost kwa wall yake?...kuna kitu hapo
 
Una uhakika hakufanya hivyo? kitendo cha kukaa muda wote huo bila kuduu ndo walikuwa wanasomana hivyo au wewe ulitaka amsome vipi?lakini pia angejuaje kama ana mtu wakati msichana wake yuko mkoani na huenda kila wakikutana hakuna kitu cha kumtia wasiwasi?.Ngoja tumsubiri mwenyewe aje ajibu,

Amesema mwenyewe "walikuwa kwenye mapenzi motomoto na kuliwazana" kwa hiyo walikuwa kwenye mahusiano,au kwako tafsiri ya watu kuwa kwenye mapenzi ni ngono?

Hebu pata hii; anakuja rafiki yako anakutambulisha kwa mtu anaemwita mpenzi wake.Kwako itakupa picha kwamba tayari walisha-do? Au kama akikwambia kuna jamaa ame-do nae,hiyo itakupa picha kwamba tayari ni wapenzi?
 
Nawewe punguza ukurupukaji, kwani unapomsoma mtu ni lazima uwe mbali nae?kwanza utamjuaje vizuri kama huko karibu nae? kwa mimi naweza msoma mtu kama nikiwa karibu nae na sikuwa mbali nae. lingine mapenzi motomoto na kuliwazana aliyosema mtoa hoja ni kuwa karibu kwa hizo meseji, calls na mawasiliano mengine. sasa kuna ubaya kuchat na mtu kwa ukaribu na maneno ya kimahaba? sioni tatizo hapo wewe umekurupuka kama kawaida yako.
 
Pole Nakadori, mitandao hasa hii ya kijamii haifai, hebu cheki hii video Clip uone jamaa alivyokutana na Jini mtandaoni

Jamani shetani mbaya sana.Ni muharibifu wa maisha ya watu.Inawezekana kuna watu wengi wanateseka na haya mapepo na hawajui tatizo ni nini kumbe walikutana na majini mtandaoni.Itabidi tuwe waangalifu hata na hizi ID na AVATAR za hapa JF inawezekana kuna jini nyuma yake...
 
Last edited by a moderator:
Pole sana nakadori ili mradi umeni hakikishia jamaa hajala maini umeponea chupuchupu hongera yako.Naye huyo jamaa kwa sbb gani kachelewa au kweli alikuwa anakupenda manake siku hizi hatuchelewi wanaume mkijilengesha nyavu halafu haooo.
 
Kwani unafikiri ukikutana nao kanisani huwezi kupata tapeli? Maisha ni popote pale. Tatizo ulikuwa haraka sana, ullitakiwa kumfahamu in detail.
Kwanza mtu akitafuta mchumba na akampata kwenye mtandao, inamaana hapohapo mnaanza taratibu za kuoana?
Hata kama mkikutana barabarani, si lazima kuwe na kipindi cha majaribio?
Rudi tena kwenye list yako chukua the first runner, will be the perfect.
 
Huwa najiuliza, inakuwaje mtu unafikia kumwita mwenzio tapeli wa mapenzi, au fake etc.

Kama mmeshindwana move on na urekebishe makosa yako mwenyewe ndio yaliyokupelekea kupata mpenzi ndie siye.

Let us be responsible for our own mistakes.

Inaonekana alikuwa ana-beep mapenzi, kama alikuwa amemaanisha asingekuwa tayari kumsikiliza huyo aliyemletea taarifa za kizushi, wakati mwanaume bado anataka waendelee mbele.
 
what a coincidence............
Namimi nilipata msanii fb nikashtuka
kama vipi tulianzishe i do hope we'll make a best couple
 
Back
Top Bottom