Jf ilinikutanisha na tapeli wa mapenzi

duh nimebaki naduwaa.....huyo dada amejuaje kuwa unataka kuanzisha mahusiano na huyo kaka mpaka akufuate???.......lol pole lakini....mie nahisi ungemtaja humu tumjue...NAME AND SHAME HIM????????????????........kazi kuvizia tu humu hana haya loh,ukute kashawadanganya kibao kwa gia ya ndoa....mmmmmmnh......

Anaitwa bishanga abashaija,halafu huyo aliyenirushia njiwa wangu nahisi ni kongosho.
 
Mtandao ni sehemu ya kukutana tu kama barabarani,
huwezi kuanzisha mahusiano kwa kupitia mtandao.
Lazima mvuke mtandao na mjuane katika maisha ya kawaida kwa muda kwanza
alafu ndio uamue kuanza mahusiano ya kimapenzi.
Siku hizi mambo fast a fast a bana,si unajua tena ukimfuatilia sana nyuki asali huli?
 
mmh pole dada, yan nawe ukawa serious kabisa na mapenzi ya mtandaoni aisee! me najua leisure tu basi kumbe ppo zinafanya kweli.
usirudie tena mpenzi, haya mapenzi ya mtandaoni hakunaga yan! or you move in with caution yan dah!
NEVER TRUST A STRANGER MUMIE!
 
But sometimes it works,ni50/50
 
pole sana. wewe ni bikra?. hivi unaamin hadi sasa kuna mtu yupo single? wewe hujajua, sisi wavulana tunakuwa na wasichana wa aina tofauti.
1.wa kutoka nae (nyumba ndogo)
2.Wa kuishi nae (mke)
anaweza akawa na msichana lakini hana sifa ya kuwa mke so unamtumia kuondolea nyeg..tu.
Unapokua kwenye mapenzi sikiliza moyo wako sio maneno ya watu. na huyo msichana anaziba riziki tu hapendwi wala nini. siku zote wasichana mnawekeana kauzibe. amin jf ndo kuna wapenzi wa ukweli.punguza hasira yataisha hayo. ova
 
Duh haya mapenzi ya mtandaoni hayaaminiki kabisa,
Sasa piga goti chini mlilie mungu akupe mme mwema .
all the best
 
Sijui kwa nini huwa wanawaficha, ningekuwa mie ningeanza kwa mistari ya kumchana kwanza halafu mwishoni ndo natoa tahadhali!! Loh....pole yake mdada!
Ole wako uje uniumbue na ule mtongozo nlokupiga juzi.....:photo:
 
Nakadori unajua hata mimi sijaoa na sina mtoto wa nje ya ndoa, na ningependa nilete posa ili nikuwowe uwe mke wangu wa ndoa..................... LOL
Najua wanoko wataniharibia kwa Naka wangu.
 
Utakuwa tayari umesha megwa unajibalaguza tu hapa.
Hustahili hata pole
 
pole sana. wewe ni bikra?. hivi unaamin hadi sasa kuna mtu yupo single? wewe hujajua, sisi wavulana tunakuwa na wasichana wa aina tofauti.
1.wa kutoka nae (nyumba ndogo)
2.Wa kuishi nae (mke)
anaweza akawa na msichana lakini hana sifa ya kuwa mke so unamtumia kuondolea nyeg..tu.
Unapokua kwenye mapenzi sikiliza moyo wako sio maneno ya watu. na huyo msichana anaziba riziki tu hapendwi wala nini. siku zote wasichana mnawekeana kauzibe. amin jf ndo kuna wapenzi wa ukweli.punguza hasira yataisha hayo. ova

jinenee nafsi yako,wanaume wengine hawako unavyodhania wewe,akitoka toka na mkeo,ndo nyie mnaogongesha wasichana.
Heshimu mkeo.
 
tatizo wengi hukimbilia ndoa pasipo hata kuelewa ndoa ni niin au kwa nini aolewe yeye na anakuwa hajajiandaa.. pia hajui aolewe na mtu wa namna gani na je ni mtu yupi anamfaa .. kwa nini uwe na mawazo yoyote akija twede ??? kwa staili hii utatapeliwa na wengi na unaweka maisha yako rehani
 
Sijui kwa nini huwa wanawaficha, ningekuwa mie ningeanza kwa mistari ya kumchana kwanza halafu mwishoni ndo natoa tahadhali!! Loh....pole yake mdada!

si ndio hapo... Maana ingewasaidia na wengine.. Kipipi mie ningemchana live... Inahuu kudanganyana ovyo kama maigizo bana...
 
Nakadori unajua hata mimi sijaoa na sina mtoto wa nje ya ndoa, na ningependa nilete posa ili nikuwowe uwe mke wangu wa ndoa..................... LOL
Najua wanoko wataniharibia kwa Naka wangu.
Du!ulaji nje nje,huwezi kutukana sisi na mama yetu hazaran!!!
Kwa hili hata unipe rushwa kiasi gani nitaila na taarifa lzm zifike na tukuundie kamati,kulaleki huyu mdingi sio kbs!!
 
Back
Top Bottom