ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,247
- 40,846
Sawa kama utanilinda ππSisi hatu "nyakuani" tunaenda wote kwa ajili ya kuburudika kwenye pati hii ya Kipepe. Hautanyakuliwa, utakuwa na mimi. π
Hayo mambo nianzie uzeeni si itakuwa aibu hiiπBamtu nitakuwa na wewe.
Mwanzo Mwisho.
Nimekuwai π
Mhm muone huyuπ πHayo mambo nianzie uzeeni si itakuwa aibu hiiπ
Hayo mambo nianzie uzeeni si itakuwa aibu hiiπ
Nacheka kama mzuri π πViroba vitakuwa vingi Kawe Beach huko, Ununio na kwingineko.
Sawa kama utanilinda ππ
Una paja la kuku ?Haya ndo mambo sasa! Haya nipe masharti basi. π
Weka tarehe niweke kwenye ratiba. nitakuwepo
Kutakua na VIP, mnatulia kwenye masofa mnasikiliza zilipendwaHayo mambo nianzie uzeeni si itakuwa aibu hiiπ
Una paja la kuku ?
Kutakua na VIP, mnatulia kwenye masofa mnasikiliza zilipendwa
Haya ni mawazo yakoViroba vitakuwa vingi Kawe Beach huko, Ununio na kwingineko.
Utajitahidi tuHayo mambo nianzie uzeeni si itakuwa aibu hiiπ
Upo kwenye mipango hiyoNakazia kuhusu tarehe. Aweke na "dressing code", mi pia nitakuwepo. π
Hapa usalama ni mdogoπ€£Kuku hawa hawa, au kuku gani? π
Hapa usalama ni mdogoπ€£