JF Houseparty

Mapema sana ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ
 
Kwenye ulimwengu huu ambao kuna wanawake matajiri, wakurugenzi, Marais, mawaziri, na wenye viator.
Huo mtazamo wa wanawake kuingia burebure kumbe bado upo katika akili za Great Thinkers wa JF? Hili linashangaza sana.

Ni kwamba umewadharau?
Au humu wanawake ni maskini sana?
Au wamekaa kizamani kama pombe za jadi au kitu gani?

Kwako muandaa party
 
Mtazamo wa ki buza buza bwashee, maeneo ya buza na bar za uchochoroni ndio kuna pigo za hivyo
 
Kama huna mvuto tunaoutaka tutatumia kigezo cha kuingia na 500k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ