ndaga boy mtemi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 589
- 208
kwa jina lako chungu mfano wa homa ya jiji/
uniwezi shahidi mungu mm ni bonge la ligi/
sijui unaitwa pella huna pa kupandwa zaidi ya jela/
unajifunza usela na huna pa kushika zaidi ya dela/
mm sipimw niogope kama zimw/
kuwa makin unipi mvuto hata upige min/
mtoto wa mama leo unajiita mtoto wa mjin/
kwangu utaungamana mm fasihi nawe ni dini/