chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,540
- 2,683
N kwel mkuuNaona people watakuwa wanapambana na changamoto za life.
Maisha ni kutisha na sikutishana.
N kwel mkuuNaona people watakuwa wanapambana na changamoto za life.
Maisha ni kutisha na sikutishana.
Natazam naona watoto wanaleta makuzi........Nacheki avatar nasahau amri kumi za mungu,
Yeth mtoto matata nataka kusuuza rungu,
Sema chochote utapata fanya kunipa uvungu,
Kazi imekua kazi kidume nataka tundu

Usiniquote halafu ukaleta komed,Natazam naona watoto wanaleta makuzi........
Vina vimeungwa mpka zimelegea nyuzi.
Nakaa pemben naon bora niwaachie uzi
E bhna hi battle ni wapi imeishia.Tulia ww hii battle haiwez Kuisha Leo Wala kesho/
C unajua Leo getto umekuja so tunafanya mkesho/
Huwez kurap we Fanya Kama Yule Jamaa Mr kesho/
Ugeuke kichekesho/
Nakuja na zawad nakununulia gauni special/
Nimekupiga gor la1.2.3 na lá 4 mchiz navuja jasho/
Mtoto umesimama wima utasema unavuna korosho/
Remember ThisMuulize mjumbe wa bwana , atakwambia mimi mjumbe wa vina
Ma Emcee Coke Zero , njooni niwafundishe kuchana
Ngoja na leo Tuwaseme , labda mta BADILI TABIA
Mme mess kwa Mbwa dume , lazima mtakimbia
Me ndo @Mr.JF huo NI MTAZAMO TU
Mwambieni Miss Natafuta akinitaka atanipata tu
Kichwa Kichafu , hamniwezi mimi tajiri wa stanza
Kanda ya ziwa wananiita chief, shahidi tajiri wa mwanza
Natoa waraka, kama mtume paul kwa warumi
Kinywaji unachokitaka, barafu ya noto ndo mimi
Inasikitisha sana member since 2017 still you have one like?/E
E bhna hi battle ni wapi imeishia.
Leo ndo mara ya kwanza JF nmeingia.
nmezisoma battle ghfla zikanivutia.
ikabidi nisignup sasa ninawaamkia.
wakubwa shikamoni, hamjambo wadogo.
Nimeona kuna m2 anasema mwenzake anagawa ndogo.
Akat ye daily kwa kitaa anatumia mikorogo.
Sifa yake kubwa anapenda tumia mihogo.
sasa imekua zogo pale anapokata gogo.
anatoa gogo pana mithili ya chake kisogo.
Oya nan yupo tulianzishe
Mchiz unataka beto,mwenye yupo online nashida na battle naye
Mwana, mistari yako una search kwenye google//I might rap tight like a snatch of a fat dike
But I aint wrapped tight
I kill yall fake rappers on sight
Make u submit to me without a fight
flow uglier like the gugenheim building had a child with the most compicated rube goldberg machine.
Call me Iddy Amin
Punch hazieleweki utadhan ticha wa math/ebu tulia mtoto wa mama mzao wa ng'ombe ntakuita ndama/
kaa tayari nikufanyie hifadhi mtu mzima niite mpanga kazi/
tulia nikupashe habari usiyo nayo/
ukiniona kaa mbali au karibu nikusafishe kama ubao/
rudi shule au nikupe ule maana mchana una ubao/