Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,035
- 15,331
Wakijaribu kwaaaaao ni pambio
Jaribu kwangu uone utakavyorudi na kilio
Na akili za kimakalio
Hizo sina, karibu uswazi kwetu msosi ni wa kupima na iwe hima
Jifunze na uishi kwa dhamiri, haina noma ukikomaa utamea kiudhahiri, na wanafikiri wao ni ma' conscious kumbe ni mafakiri kwa akili timamu hazipo kama wamesomewa albadiri
Kuwa makini,
Mwanamke ni laana yenye ufedhuli
Kasoro mama yako yeye ni nuru yenye ushauri...yoo
Kimatata najisongesha nimechizika si kwa limbwata, kwa weledi wa kimashairi wengi walidhani nimedata..
Ni king wa rhymes, ni king wa hii
Kwa hivi vina hamvifikii hata mjiongeze kwa bidii
Safari hii na hii play one, two, three
Leta nyomi leta shazi niwachape ka Bruce Lee
Najua unatingisha kichwa kwa feel ma flow, my bro nnamzuka wa 2pac japo sija' sign death row
Sina so, gusa unase utakavyochezea hii show
Kibiti ni trailer haki ya nani kwangu uta' blow
Wameingia choo cha kike underworld bifu na hade(s), Jf mkali wa vina ni mimi the Slim shady