Hii misitari ya humu yote ninaifanyia upembuzi yakinifu nije nitoe ngoma
Haha ba Zuhura kumbe upo njema hadi huku [emoji23][emoji23]Shyt is draconian, I need a cogniac
A Tennesee Henessy to let me see,
The light, alright?
To let me free, let me flee
I'm bright, get high like a kite
With Pombe, not Magufuli
Hombre, I'm sick with a toolie
This code is Hammurabi
The abode would harm a rabbit
A harmless bunny, for the love of money
Escrow like Esco, Escobar escapades in escalades
Money laundry, wintering the everglades in shady shades
Smoking that high grade, cutting ks with high blades
Ain't no rookie in my routine, Dar to Miami-Dade
Nakaba kila kona, kwa mahaba bila nomaHaha ba Zuhura kumbe upo njema hadi huku [emoji23][emoji23]
Ebwana eehNakaba kila kona, kwa mahaba bila noma
Si haba ninapona, naranda Dar -Kigoma
Makahaba watashona, Sodoma nishagoma
Koloni la wakoma watakoma
Nanona, ka shavu la mtoto wa geti kali
Nasonya, kwa ubavu wa moto wa cheti cha serikali
Hii habari matata, kamaku pigwa mbata makata
Katika harusi ya kaka jiko aliyepata
Wapinzani, nawaacha gizani kama hawana LUKU
Wakidhani nawakacha mezani kwa mtaharuku
Hivi vitu ni fani, Nyangema usiijaribu
Hii kuntu mizani, mtagema mtaharibu
Shall I continue ?
Ebwana eeh
Jamaa kumbe upo njema/
Nilijua wee kizee
Balaa kumbe bado u vyema/
umeshawakaba kama ngwena
Hakuna haja tena/
Mnyamwe kumbe sio lena
Kimasai nakusalimu keiya /
Haha hakuna haja ya kuendelea bhana
You got skills man. You hit the target. [emoji109]Nikiwa bizee, usidhani kizee
Ntakuweka selo kama Halima Mdee
Mazee, aisee, Mangi au Mdoe?
Ntakutoa chati kwa shati ka Mpendazoe
Nakaba wazito kaa Kabwe
Napenda Nape, wa sasa si kabla ule ubabe
Ni staa kama Slaa kila saa napaa majaa
Nakuasa ka Lowassa halafu natambaa
Kinaa ka Kinana si kiwete ka Kikwete
Upepo mwanana Chake Chake mpaka Wete
Mi Nyerere we nyenyere acha segere
Piga vigelegele kunishangilia shere
Ntakutoa kapa mitusikama Mkapa
Kwa speech za fisadi Papa aliyepiga chini bapa
Si Lipumba Lipumbavu, siasa za mabavu
Nafumba ushupavu kwa lakisasa shavu
Nafunga makufuli kutumia Magufuli
Nakushikia bango kama Sita viwango
Si kamba za Makamba na mipango ya Mpango
Siku hizi hatuna maprofesa//Nikiwa bizee, usidhani kizee
Ntakuweka selo kama Halima Mdee
Mazee, aisee, Mangi au Mdoe?
Ntakutoa chati kwa shati ka Mpendazoe
Nakaba wazito kaa Kabwe
Napenda Nape, wa sasa si kabla ule ubabe
Ni staa kama Slaa kila saa napaa majaa
Nakuasa ka Lowassa halafu natambaa
Kinaa ka Kinana si kiwete ubwete ka Kikwete
Upepo mwanana Chake Chake mpaka Wete
Mi Nyerere we nyenyere acha segere
Piga vigelegele kunishangilia shere
Ntakutoa kapa mitusikama Mkapa
Kwa speech za fisadi Papa aliyepiga chini bapa
Si Lipumba Lipumbavu, siasa za mabavu
Nafumba ushupavu kwa lakisasa shavu
Nafunga makufuli kutumia Magufuli
Nakushikia bango kama Sita viwango
Si kamba za Makamba na mipango ya Mpango
Shikamoo jamaan nimekumiss tu hivi mshindi bado tu mpaka leoEbwana eeh
Jamaa kumbe upo njema/
Nilijua wee kizee
Balaa kumbe bado u vyema/
umeshawakaba kama ngwena
Hakuna haja tena/
Mnyamwe kumbe sio lena
Kimasai nakusalimu keiya /
Haha hakuna haja ya kuendelea bhana
Duh.. Upo nilikumithi thaaanaShikamoo jamaan nimekumiss tu hivi mshindi bado tu mpaka leo
Siku hizi hatuna maprofesa//
Kisa...wengi mbona ni maporapesa//
Tena ndo hao wanatutesa...yes sir tena wana visa//
Hapana...simsemi bwana yule//
Msije mkanipeleka mabwepande bure//
Na hizi degree za kikuda si bora tu mrudi shule//.
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Miss u moree kibumbu nimeingia jana jf mzima lakiniDuh.. Upo nilikumithi thaaana
Ila ba zuhura kama atashinda manga anakuita sana kwenye ule uzi wa coupleMarahaba u mzima?
Mshindi bado naona ba Zuhura naye kaliunga
Mi mzima takutafuta kuleeee kwenye kijiwe chetuMiss u moree kibumbu nimeingia jana jf mzima lakini