Mi ndo mkora wa wakora unanichezea sharubu,hapa hakuna cha gwajima ila nachojua wewe nivmama huruma
umekuja pupa ushafeli ushakalia visu kwa kirefu kima
unajikaza kurukaruka mtaa mzima kutwa nzima unandindima
mithiri ya khadija kopa hiyo mipas
hapa hakuna cha gwajima ila nachojua wewe nivmama huruma
umekuja pupa ushafeli ushakalia visu kwa kirefu kima
unajikaza kurukaruka mtaa mzima kutwa nzima unandindima
mithiri ya khadija kopa hiyo mipasho unayotema
walowezi wanakunusa we umelala huku wazawa wanajituma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]I think big mistari hit hakuna pimbi wa kuizima,
Mipasho mingi tako big kama RC wa Mzizima,
Mistari mizani shit pumzi kati pole boya umepima,
Mtoto unajisifu weupe na ngozi soft kama Sauda Mwilima,
Hii inawafaa binadamu hauiwezi we ni kima,
Mistari kama upupu inakuwasha mwili mzima,
Ukitaka kukunwa nambie bonge la bwana noma sina.
Waweza kushika maiki na ukaimba bolingoMzee nikishika maiki hautambi,
Mistari ya utamu mtamu kama mayai na tambi,
Beat na kiki kali ka mzuka wa Jidenna kwa Bambi,
Humu ndo mistari tata imepiga kambi,
Kichwa kimejaa lyrics mwana breki hazikabi,
Madada kaeni pembeni nimeingia shababi
Karibu dogo, na mistari ya kucopy,Mwendo wa kobe akili zao,me nna 4g ya duma/
Mbele wakae wao,mi fataki niwe nyuma/
Nachakaza mpaka kwao,kama kutu kwenye chuma/
Na waambie dada zao,me ndi yule fundi ku**/
form1
Dogo ushachokoza moto,faster piga simu faya/Karibu dogo, na mistari ya kucopy,
Usigeuze kisogo, ntakavyokupigisha magoti,
Ma mc tuna usongo, kama tunapewa noti,
Kama uko vizuri kwenye ubongo, okay ni ruksa kuquote
hauna utashi wenye utundu na hauwezi kupanga manenoI think big mistari hit hakuna pimbi wa kuizima,
Mipasho mingi tako big kama RC wa Mzizima,
Mistari mizani shit pumzi kati pole boya umepima,
Mtoto unajisifu weupe na ngozi soft kama Sauda Mwilima,
Hii inawafaa binadamu hauiwezi we ni kima,
Mistari kama upupu inakuwasha mwili mzima,
Ukitaka kukunwa nambie bonge la bwana noma sina.
we mkora unayejifunza upo kodo nakulaza kwa bakoraMi ndo mkora wa wakora unanichezea sharubu,
Mistari yako hovyo umetoa kwenye kibubu,
Kweli bongo nyoso mabrazamen mnanihusudu,
Nna flow na swaga tamu kama nyama ya kudu,
Endelea kunivagaa dogo unawashwa mdudu,
Naona unatapa tapa unasingizia lugha,
Mistari inavutia kama Mimi Mars na Shuga,
Hizi zangu ni vipaji hauji niweza buda
Nakuona sasa unampaisha na sterio,Dogo ushachokoza moto,faster piga simu faya/
Nashusha mistari joto,nyie baridi hua mnapwaya/
Ya mrisho muachie mpoto,we masudi sura mbaya/
Kama hujui me ni doto,kurwa wangu ni baba ubaya/
form1
Dogo kazi imekushinda na ushindi mshindo unatua kwangu,Waweza kushika maiki na ukaimba bolingo
Nakupiga kwa knockout ya mistari ndani ulingo
Verse zimejaa ni full album sio single
Sorry nimeanza bila salam whattapp yo
Mi natia mistari kazi yako ni mwendo wa sasambu,hauna utashi wenye utundu na hauwezi kupanga maneno
unajikuna unapowashwa we ni ndezi hauna uwiano
mi ni chapa chapa ilale haujiwezi kiupeo mi ni mwamba wacha nikuchape kibano
we nisheria mama hauniwezi mwenye sheria baba utapotea kwa msumeno
hii ni by pass border we mpaka shedo nakupa pini muumwa gono
naishi kiuhalisia na raia utabaki nyuma ishi kwa vitendo pia mifano
i have a poison nakunywesha bila kikombe wala chupaMi natia mistari kazi yako ni mwendo wa sasambu,
Mistari yangu vina shazi kunikamata unapata tabu,
Nakukimbiza umeishiwa nakupa ruksa omba sabu,
Mistari yangu mizito kama mawazo ya babu,
Mistari yako shit kama umelewa ulabu
Hapa umeandika nini lugha ya mistari inaona utata,we mkora unayejifunza upo kodo nakulaza kwa bakora
kichwa chako cha corrupt cha ajabu mtoto wa kiume unalingia sura
score zero umezipata aisee wewe naona unashape pana kama mwili wa snura
Umeingia kwangu umejichanganya mimi ni ruti ndefu,i have a poison nakunywesha bila kikombe wala chupa
sikia hii story andaground hapa ini mwendo wa kukuchapa
bila dhana ila akili yako mdebwedo lazima ijihofie kwa hii chopa
mi ndye nuksi adui yako naona ushasanda mpaka mistar unakopa
haupo gado kukaza hauwezi bora uimbe ngoma za makopa
unautoto mwingi homie hii si ligi ya wanywa chupa
ona ulivyolegea hiki ni kisiki hainaga shobo wala shanapa
kweli ni mistari iliyo na vina ila kiukweli mistar yako haina maanaHapa umeandika nini lugha ya mistari inaona utata,
Mi naandika madini kwako kama kapita bata,
Natambaa na biti ngumu kama kahawa na kashata,
Dogo kwa hizi punch nakuona unafyata
bring your mouth maisha yako ni bul shitUmeingia kwangu umejichanganya mimi ni ruti ndefu,
Ma mc nawatawanya na makombora ya masafa marefu,
Kwenye darasa la freestyle dogo ulitoka na F,
Ulitoka na Bashite, nakupa somo kuniquote usisite,
Kipigo hevi haya wenzako kawaite.
Nicca so early shit na umeliamsha dude,kweli ni mistari iliyo na vina ila kiukweli mistar yako haina maana
eti unachana kwenye biti ngumu kama kahawa na kashata hii nini tena?
jifunze kupanga ukaeleweka ha haaa umenifurahisha sana
unabakia kusema dogo am your bro wacha nikufundishe kijana
mistar kwangu ni ukitambo nipo yakinifu kwa uandishi siyo leo wala jana
kwa jinsi ulivyo shuka dau unatia huruma ushapotea kila kona
hero nakupa vizingiti hauniwezi ushakabika kila shina
kiukweli hauwezi kitu we ushazoea sembe hii level nyingine kwa shibe unga wa dona