Mzee unanipandisha mzuka hebu kwanza kula like,Nimeshiba mistari soon nitatapika
Nawacheki fake rappers jinsi wanavyotaabika
Ukali wa mistari bro haijali rika
Hatua moja nikisonga inakua ngumu kunishika
Mimi najiamini ni mwiko kukimbia
Kwa hilo changa la mtoto sijui nini ulifikiria
Mademu wapo kibao unavurugwaje na mmoja?Hahaha nachana mpaka najiona sina mana
Loveshit nabushit tusigombanie wasichana
Wengi malaya
Wapo juu zaid ya safu za himalaya
Naona bora ni rap
Niwe kigum and i nt stop
Bana kesho nshavulugwa na demu
Freestyle niko good kama zila wa salasala,Mzee unanipandisha mzuka hebu kwanza kula like,
Haya usicheke sana hebu nipe hiyo maik,
Mistari yako famba kama uhuru na show za halaiki,
Ukali mkali wa korea na yule mwana kipanki,
Nakutoa damu nasepa ushahidi humu ndani sitaki,
Madude yakikuzidia usisite kwenda kushtaki,
Swaga zako ziko flopi mi mkali haunikamati,
Hii mitindo yako ya kukopi hapa ndo umefika tamati
Pop pop vitasa another one anakimbia,Freestyle niko good kama zila wa salasala,
Nakuona uko kwenye mood ila mi hii ndo mida ya kulala,
Sorry my brother the hood tukutane kesho inshallah
Najitahidi kuwa msafi mdomoni zaidi ya konda wa daladala
Yote kwa yote niwatakie usiku mwema huku tukimshukuru mola
Teh! teh! Sio kicheko cha dharauPop pop vitasa another one anakimbia,
Shit shit na sasa another one anakimbia,
Moto mkali nimewasha another one anakimbia,
Kazi kali na sasa anaother one anakimbia
Mistari yangu mipana inakufunika gubi gubi,Teh! teh! Sio kicheko cha dharau
Huko kujitia king lini umepanda dau
Nilikuonya sitokimbia nadhani umesahau
King wa freestyle misemo na nahau
i'm back
Dogo fanya kazi acha kuwaza mapenzi,yes yes am ready for the battle,,,
1,2,3 4 ghafla nipo njiani akakatiza miss chagga,
nikasema thanx God,leo ni leo hata kama sina swaga,
mtoto ameumbika,body lake kama lady gaga,
huku nyuma alivyonona daaah kweli toto la kichaga,
mate yalianza kunitoka kama vile nimeona burger,
nikatembea kwa spidi ili nimkaribie,
huku nikiwaza gia gani nzuri nimuingilie,
nikajiweka sawa huku nikisali mungu anisaidie,
yasije yakatokea mengine matusi niambulie,
ghafla kidogo nikashtushwa na honi kali,
ilikua ni gari ya kifahari land cruser V8,
ikapita pembeni yangu na kuelekea alipo miss chaga,
nikasimama kwanza nione nini kinachoendelea,
akashuka mdingi mmoja mfupi huku akiniangalia,
we kijana kuwa makini shauri yako utapotea,
aliniambia maneno hayo huku akiendelea kutembea,
akamfata miss chagga kisha wakakumbatina,
huku mabusu ya kila aina mdomoni wakipeana,
niliishiwa pozi nikatamani nilie,
sikuwa na lakufanya ikabidi nijiachie,
nilitembea kwa huzuni kama nimepatwa na msiba,
ahaaaaaa to be continue.....
Dogo fanya kazi acha kuwaza mapenzi,
Ingia kwenye huu uzi anza kushusha tenzi,
Unapend upate mimama full kitonga na utelezi,
Bob huo umarioo siyo deal toka enzi na enzi,
Hata skuli inakua ngumu mapenzi yakikudrive crazy,
Now try gettin serious coz you are in for the world of pain
Hahahaha dah mzee kazi zinakuzidi uwezo unaanza kutema shombo,kuna muda wa kazi na muda wa mapenzi,
me ni gentlemen huwa sina tabia za kishenzi,
bro hiyo ni stori tu sijazungumzia mapenzi,
uwe mwepesi kuelewa,sio tu kuachia ushuzi,
We endelea kukimbia bila kujua unakoelekeaMistari yangu mipana inakufunika gubi gubi,
Nitokee na mkwara shit wa Belle 9 na amerudi,
Nakufunga kama C sir na upuuzi wa kifungo huru,
Mistari yako ya giza yangu inaleta nuru,
Nitaendelea kukimbiza hii spid ishakua full
we ni baby mama mi ndiyo kong fu master nakutich nana kutoa kwenye chain ya zako dramaHizi lyrics na mistari shit ya vyeti vya bashite,
Freestyle haina afya ni lazima nikupite,
Nakupa kipigo hevi fanya mpango na wengine uwaite,
Mistari umeijaza shombo na michambo ya kike,
Jikaze leta ubishi mfalme nikufirimbe.
Mzee nikishika maiki hautambi,We endelea kukimbia bila kujua unakoelekea
Mistari ni kuntu sio nisaidie kushare
Hapa ni maji marefu kina so chakuogelea
Huu msosi wa moto tafuta viporo vya kuchezea
i will show you mi ni master plan we andaground sitaki utaniYes, they call me Daby
Kwa Rap nipo simple/
Valentina ananiita hubby
Unataka battle hunahata wimbo?/
Ubingwa ni wangu
Wahi chimbo ukauze na machangu/
Japo narap kwa hamu
still nawaona floppy kaa Ram/
Dogo baada ya kipigo leo umerudi tena,we ni baby mama mi ndiyo kong fu master nakutich nana kutoa kwenye chain ya zako drama
kapuku kinyesi upo soft kimdebwedo wanakubonya ile kinoma
usilete ulele dada utapotea mdogomdogo bora uwe kimya na uanze kuungama
link yako imevuja low capacity na hiyo speed yako ya kobe kamwe hunifikii hii ni level Ya duma
najua akili yako ishanivulia kofia na kunipa salute juu mi ni wa kwanza we utabaki kuwa nyuma
kichwa changu ni medcine nakutibu we mgonjwa kiakili haupotimamuDogo baada ya kipigo leo umerudi tena,
Jikaze ila kama kawa nakutoa na knockout ya mapema,
Nakaza mistari kama ninavyokaza mzawa wa mzaa chema,
Dogo endelea kukimbia mi siyo mtu mwema,
Umekuja kushindana mbio wakati kwa lyrics we kilema
Me naitwa form1,we uko form ngapi/Eyoo naficha uso ka frasha/
Nilivyo na doo nafanya shopping engarasha/
Kwa habari nawapasha/
Mshakuwa wawet kama mvua ya rasharasha/
Kwa jiwe moja naua pacha/
Naimpress mpaka west muulize hata kadarshan/
Kimistari we Kayumba utabakia hapa hapa,kichwa changu ni medcine nakutibu we mgonjwa kiakili haupotimamu
ubize ndiyo unaonifanya nisiwe na time ya kutokuwepo humu
nahisi wew ni jobless kula kwa baba na mama ngoja leo nikupe elimu
hata robo hauniwezi mi kiwango mwenye ubora we kiraka usiyeijua main stream
mi kibaka nakubaka kwa uandishi yakinifu we kimeo maisha yako hayana future dream
utaishia kujifariji na kujipodoa nyuso yako kutwa nzima kwenye kioo kaa kimya mpaka cream
mi ni bardware we soft siwezi kujicompare nawe upo mwepesi kama viungo vya demu