tif tif cha we ni mlezi unaye shindia viazi na hauna kaziYap yap yap walezi/
Tunashindia viazi/
Sababu ya wazazi/
Tunayapenda malezi/
Yasio ya kipuuzi/
Geto letu la mianzi/
Tumeezeka kwa magunzi/
Hivi mnasikiliza au mnatoa ushuzi/???????
hakuna kuneng'eneka we kwangu ni matekaYeloo sabhai, mbona leo Utaneng'eneka.
Mzuka wa kimasai, naona umesha anza kutweta.
Humapati dad yangu, maana naskia unasweta.
Umesha ntia uchungu, aisee leo naku keketa.
Diazaini ya twanga, lazima utatapepeta
Demu ako ni moja kanga, hajakusimulia alicha pata.
Nakuwa Kendrick Lamar, nakwambia be humble.
Punguza zako njaa, unaiga kuny kwa tembo.
nawachalaza nawalaza we huyo boya mwenzako...
Dah baada ya masaa mawili ndiyo unarudisha majibu,iko wazi mi ndiyo mtemi na unatetemekeka ukiona nimeingia
..
Fresh mrembo, naona ushaanza mazarau.hakuna kuneng'eneka we kwangu ni mateka
ama mwali nishakuvesha mini na kanga na ndani nishakuweka
shujaa kama mim kapuku kama wewe kitambo nishakuzika
kuhusu drama na unazoleta kama mama huruma unatapika
leo live unajishobokesha kigoli kazi yako ni viuno kukatika
ama bora uwe msusi ili mashoga wenzako uweze kuwasuka
mi huwaga sinaga nukta nakuchana mpaka tako lako linatatuka
Usishoboke bwana mdogo kwa kujiona umefika mbali,Daby Vijana wako vizuri aisee..Najiona kama niko ligi ndogo
Haha b5-click!!!Ebwana sikuuona Uzi.. Japo ni wa Leo ila comment nyingi kama umeanza juzi.. Niko safi.. Kombati mithili ya Gaddafi.. Namiss viroba.. Niko high huwezi nikuta soba.. Mitindo ya kughani.. Daby piga beat dzain za majani.. Keyon nipe kipaza sitaki utani.. Nadunda kwenye beat mithili ya nyani kwenye miti.. Niko maskani deile nakula kijiti..
Mazee ngoja nikae sawa
Kaboom hawa vijanaDaby Vijana wako vizuri aisee..Najiona kama niko ligi ndogo
Usishoboke bwana mdogo kwa kujiona umefika mbali,
Utakuja kushikwa ndogo
ndio ujikute unaafadhali,
Freestyle inawajuzi nakushangaa jinsi unavojisifu,
bakia kusoma huu uzi
kabla sijakung'ata ka siafu,
wewe msangi wa wapi,Usishoboke bwana mdogo kwa kujiona umefika mbali,
Utakuja kushikwa ndogo
ndio ujikute unaafadhali,
Freestyle inawajuzi nakushangaa jinsi unavojisifu,
bakia kusoma huu uzi
kabla sijakung'ata ka siafu,
Nashukuru kuniita bwana,Hata kama ni mdogoUsishoboke bwana mdogo kwa kujiona umefika mbali,
Naona unatafuta basha,Nenda mombasa ndo kwenye sokoUtakuja kushikwa ndogo
ndio ujikute unaafadhali,
Ujuzi una wajuzi,Sio wewe mpuuziFreestyle inawajuzi nakushangaa jinsi unavojisifu,
bakia kusoma huu uzi
Kung'ata tabia za kike,Ita mashosti zako ndo mzipigekabla sijakung'ata ka siafu,