Nikiwaendekeza nitakua silali tukutane asubuhi' nakupa muda noa makali,Mapengo na pengo la kadinari.. Michano yangu kitisi wanasema ni kamari.. Tega sikio nikupe maarifa na sio taarifa ya habari.. Niki-like nimependa.. Ukipenda pia nakutenda.. Sikupi ngawila nakupa denda.. Mtt Mdogo kaa kimya nitakubemenda
Ahaahhhaaa nacheka kwa dharau/nakuteka na kufyeka JF ikusahau/nyang'au hujui kuchana unajua kusuka/nikifanya stanza ninapanda we unashuka/kurupuka uvalishwe kanga au nikufanye nyama kwa bucha/ me ndo Kidume nilioquote huo uzi/ wa mistari iliyolost na flow ya kipuuzi/huwezi rap mkuuzi akili kimo cha mbuzi/ badili sababu asili yako ni blues/am right here without fear,bi*ch come near/nikupeleke unakostahili kwa wacksphere,me ndo nakukeketa kwa shakspear/snitch is that clearANAYEWEZA KUSHINDANA NA MIMI ANIQUOTE ILA ASILIE
kichaa na rungu kichaa uvungu/
nipo jf usiulize mautundu
usiulize majungu
nakupaka kama mange waulize wazungu
boss la flow naflow zaid ya river
nina camp of sojaz na mwes kama kimba
ndevu niite simba
natoa knock out ka slice niite kimbo kinga
janja la wajinga zee la kutinda
nikifinda nawinda maujinga nayageuza maujanja
flow beberu na makazi chikago
zoom baby look damn nikupe kisago
nakimbiza ka bolt
nakushona ka boriti
nakukaza kama nati
nakuficha kama noti
hii sio boti ni game beach buggy biltz
fix hizi
me ndio jogoo la shamba nawika mpaka PANDE HIZI
Hahah hapa nimeelewa tu unaishi ChicagoANAYEWEZA KUSHINDANA NA MIMI ANIQUOTE ILA ASILIE
kichaa na rungu kichaa uvungu/
nipo jf usiulize mautundu
usiulize majungu
nakupaka kama mange waulize wazungu
boss la flow naflow zaid ya river
nina camp of sojaz na mwes kama kimba
ndevu niite simba
natoa knock out ka slice niite kimbo kinga
janja la wajinga zee la kutinda
nikifinda nawinda maujinga nayageuza maujanja
flow beberu na makazi chikago
zoom baby look damn nikupe kisago
nakimbiza ka bolt
nakushona ka boriti
nakukaza kama nati
nakuficha kama noti
hii sio boti ni game beach buggy biltz
fix hizi
me ndio jogoo la shamba nawika mpaka PANDE HIZI
una flow nzuri ila jitahidi kuwa na mtiririko wa mawazo unaoeleweka na kutumia maneno yenye maana utatisha sana, usiwe na mtindo m1 tu wa uwasilishaji. ushauri tu!ANAYEWEZA KUSHINDANA NA MIMI ANIQUOTE ILA ASILIE
kichaa na rungu kichaa uvungu/
nipo jf usiulize mautundu
usiulize majungu
nakupaka kama mange waulize wazungu
boss la flow naflow zaid ya river
nina camp of sojaz na mwes kama kimba
ndevu niite simba
natoa knock out ka slice niite kimbo kinga
janja la wajinga zee la kutinda
nikifinda nawinda maujinga nayageuza maujanja
flow beberu na makazi chikago
zoom baby look damn nikupe kisago
nakimbiza ka bolt
nakushona ka boriti
nakukaza kama nati
nakuficha kama noti
hii sio boti ni game beach buggy biltz
fix hizi
me ndio jogoo la shamba nawika mpaka PANDE HIZI
Hahahahaaaa dah!Unaona mistari ya Asprin
Babu eb chana na ww ujue kuna zawadi halaf mm ndio mdhaminiHahahahaaaa dah!
Babu eb chana na ww ujue kuna zawadi halaf mm ndio mdhamini
Yooh..Daby nipo ndani ya steji/
nimemkamata pacha wangu MIC/
Nikamatie kipere/
abattle nami ni mnyoe kipara/
Now u nigga una press the wrong buttn,Nimekupa flow kali ukakimbilia kulike,
Mi ni mc hatari jtahd uwe srias,
Mistar inajeruh km jeraha la risasi,
Sasa hivi niko fast namuwah Merengo,
Nilshakutoa knock out si unaona mapengo?
Hahaha thumb up to you dude,Ahaahhhaaa nacheka kwa dharau/nakuteka na kufyeka JF ikusahau/nyang'au hujui kuchana unajua kusuka/nikifanya stanza ninapanda we unashuka/kurupuka uvalishwe kanga au nikufanye nyama kwa bucha/ me ndo Kidume nilioquote huo uzi/ wa mistari iliyolost na flow ya kipuuzi/huwezi rap mkuuzi akili kimo cha mbuzi/ badili sababu asili yako ni blues/am right here without fear,bi*ch come near/nikupeleke unakostahili kwa wacksphere,me ndo nakukeketa kwa shakspear/snitch is that clear
Jumba la sinema we kanumba? Mi ni jumba Hip Hop sio Rhumba.. Cheka na mm.. kinachofata utanyonywa ndimi.. Niko chimbo.. Karibu nikupige fimbo..Nikiwaendekeza nitakua silali tukutane asubuhi' nakupa muda noa makali,
B5 tangu nikuclick naona unanikubali, mistar mizito kama habari za kifo cha Balali,
Endelea kupenda nnachotema, ukirusha unadema, flow zangu ni za hadhi ya jumba la sinema.
Rip kwa kimbo slice ,Hahah hapa nimeelewa tu unaishi Chicago
Umemrusha marehemu Kimbo slice
Bila kuwasahau River camp soldiers na baba yao Ras Omega
Wacha nimskilize hapa Kendrick ..Be humble,Sit down
Nimecheka sana mashairi ya humu