Kuifikia crown bado labda kama unamaanisha balimi,nawavunja na kuwapoteza, kama kariakoo round about
Sema mtengwa naweza, so where my crown at
Unachana kwa kujificha unakimbilia mitini,Ma Mcee mmeshikwa na HOMA..
Hakuna mnachoongea kwenye kipaza MNAKOROMA..
Mnatema povu kama mmelamba FOMA..
Hivi wapinzani mpo kweli!?
B5 na ku click, kama cursor kwenye PCMa Mcee mmeshikwa na HOMA..
Hakuna mnachoongea kwenye kipaza MNAKOROMA..
Mnatema povu kama mmelamba FOMA..
Hivi wapinzani mpo kweli!?
Mc Poyoyo.. Meno huna we kibogoyo.. Nipe ndogo acha uchoyo.. Au hujui kutoa ni moyo!?Mc unabweka kabwela na akili huna,
Nakukamata unaunga tela vesi zinawashwa nazikuna,
Mashut yako kwenye besela na swaga mbov za kisukuma,
Nifate kama bendera humu ndani kama mimi hakuna,
Hii ni kazi nzito mzazi nakuonea huruma,Mc Poyoyo.. Meno huna we kibogoyo.. Nipe ndogo acha uchoyo.. Au hujui kutoa ni moyo!?
Acha kubweka mtoto wa juziUnakuja kwa njia ya kutaka kiki/ hiki kipaji hakiambiliki/ MMU iko moyoni akilini haielezeki/ jukwaa langu pendwa mdomoni halitoki/ sitaki like wala makofi/ nitasimama kuwaangusha mafisi/ wanaokuka kwa njia ya manesi/ na nishawastukia sasa nakuvalisha nepi
Buda sipotezi muda.. Nakula chozi la simba mixer mashada..Hii ni kazi nzito mzazi nakuonea huruma,
Umetaka ndogo nisubiri nakupa kubwa,
Flow za kipopo naona unaleta ukuda,
Hii siyo kazi ndogo hiki ni kipaji buda,
Unahubiri flow shitty Harmorapa kasingiziwa,Buda sipotezi muda.. Nakula chozi la simba mixer mashada..
Itikad za Korea kaskazini.. Nina hamu na ww Leo kamatia chini..
Nipe Mimi nipe Mimi.. Muda ndo huu acha umimi..
Aiseee, ngoja niingie kitengo, Mida ya night tutakutana hapa
Gusa sana vichwa humu ndani vikakimbia,Oya wazee mbona hamjanipa mwaliko
Nina mitindo huru hamniwezi kwa midondoko
Bongo hadi kaburu,wanakubali hii miondoko
Nafanya kufuru hamniwezi nyie ma ch..
Wanapagawa navyofanya mautundu
Huniwezi we unagundu
Jaribu kufata nyuki uchezee manundu
Mi ndo fanani nsie na hadhira
Nyati mwenye hasira
Ukishindana. Na lazima utapoteza dira
Am a ventriloqust tryna twist tounges
In the booth Spitin them sick rhymes
Niggas be watchin like two times
How i be flippin linguistics like hot dimes
Am the realest MF u ever seen
Been to places u never been
Spillin the sauce like am in New orleans
Flow nusu nusu na mistari iliyoishia njiani,Ha ha ha ha!
Msiwe so fast mkajiona mnaweza/
nawacheki tu kitambo/ mnavoyahusudu makombo/
tena kwa maneno ya shombo/
the don ndani ya chimbo/
niguse nikutindue na wangu mtaimbo/
we askari mgambo/
kivipi unitishe mm tembo?,
LARA1 USILETE UREMBO/
UNAPOISHI KWA MAMA WA KAMBO/
Umekuja kushoboka/Flow nusu nusu na mistari iliyoishia njiani,
Sogea upigwe busu acha kutema mashudu karibu ingia vitani,
Hizi swaga za madufu kikombe cha utukufu kinakusubiri kipo ndani,
chagua watu kwa upande wangu mim npo sawaWakuu sijui kwanini tumeshindwa kunogesha huu mchezo. Kila mtu akichana kivyake sio mzuka. Ishu wajitokeze watu wa battle twende kwa mtoano au mchujo mpaka mshindi apatikane. Shida mara mtu kapotea hewani mara karudi. Please kama unataka battle kwasasa na upo free sema ijulikane.