JF Hip-hop frestyle battle

Nawawesha, nawapakata nachinja

Mnapata presha, ile dizaini ya hafsa kazinja

Nashanga unajiita rapa, kwenye michano umesha chuja

Mwana wa hizi falsafa, Castr asante kwa kuja
 
Miss Natafuta upendo wangu kwako unathamani zaidi ya bus la mwendo kasi, nataka unipe mapenzi ya moto moto zaidi ya pasi , na nahaidi kwako nitatulia zaidi treni ya mwendo kasi.
 
Yo yo yo! Aah aah nachana kama sichani yo! Yo I wanna kill it haah

wewe bangi nyeusi utakuwa kibaraka wa weusi/

kuna siku magoldiger watakuvalisha blauzi/
coz yakushindwa kuchana huu uzi/

natema cheche nzito kama hoja za zito/

ukicheza zitakutoa tundu na lisu ndo atakuwa mshenga/
 
Kwenye kundi la machizi, usiulize mwehu nani

Maajabu ya siku hizi, emcee local anajiita chuma cha mjerumani

U act a cake, me ni old kama movie ya war bus

We ni msanii ni fake, una fake mpaka bars
 
Kwenye kundi la machizi, usiulize mwehu nani

Maajabu ya siku hizi, emcee local anajiita chuma cha mjerumani

U act a cake, me ni old kama movie ya war bus

We ni msanii ni fake, una fake mpaka bars

chuma cha mjerumani sipat kutu ata ukiongea maneno kuntu.

ntakuchana bila chana
ata ukiwa msichana
 
Nawawesha, nawapakata nachinja

Mnapata presha, ile dizaini ya hafsa kazinja

Nashanga unajiita rapa, kwenye michano umesha chuja

Mwana wa hizi falsafa, Castr asante kwa kuja
Kwa hzi vers nakusukuma, wasukuma wenzako wapo Mwanza

Hapa kiki hautapata utaambulia vidonda,

Nakunyima raha unakonda ka Makonda,

Beating so gud unanishkur kwa kuja,

Umesahau kujicheki ona unavyovuja,

Right hook naondoka na taya,

I'll settle for nothin kama G Van kwa Nataya
 
We ni Lodi Mwenye Ulofa, nakugawa kwa sandakalawe

Unachana ka Hadija Kopa, acha bwege upagawe

Ki mistari niko Shkopa, Huniwezi kajiandae andae

Ki hivyo ndo naondoka, haya wack baadae
 
We ni Lodi Mwenye Ulofa, nakugawa kwa sandakalawe

Unachana ka Hadija Kopa, acha bwege upagawe

Ki mistari niko Shkopa, Huniwezi kajiandae andae

Ki hivyo ndo naondoka, haya wack baadae
Kiki kali king kiki akatoa kitambaa cheupe,

Kaza buti kama Pepe alivyomuimbia Bupe,

Umepoa umesizi kama AY na Nipe nikupe,

Endelea kukimbia hata nyuma usigeuke,
 
Kiki kali king kiki akatoa kitambaa cheupe,

Kaza buti kama Pepe alivyomuimbia Bupe,

Umepoa umesizi kama AY na Nipe nikupe,

Endelea kukimbia hata nyuma usigeuke,
Naheshimika na wote, kama bepari la kihaya

Flow Kali Popote, Aisee Imekaa Vibaya

Me na mic Perfect combo, kila niki flow waya

Unataka Kufika Aliko Dangote, na huijui ulaya

So Don't bother

JF imenipa madaraka na hayajawahi kunilevya

[HASHTAG]#ova[/HASHTAG]
 
Ma Mcee mmeshikwa na HOMA..
Hakuna mnachoongea kwenye kipaza MNAKOROMA..
Mnatema povu kama mmelamba FOMA..

Hivi wapinzani mpo kweli!?
 
nawavunja na kuwapoteza, kama kariakoo round about

Sema mtengwa naweza, so where my crown at
 
nawavunja na kuwapoteza, kama kariakoo round about

Sema mtengwa naweza, so where my crown at
ni wazi unaweza.. kukata nyonga na kucheza.. ila kwa mitindo huru hapa unanigeza.. na ni wazi unajikweza.. ukizidi kunifata hakika nitakupoteza..
 
Mjasiria Mistari naandika vitu chanya

Chanya haswa hadi hasi nawachanganya

Changanya uwezo wenu ndo mje kuomba battle

Battle ya stronger emcee sio nyoe light kama castle

Castle lager na mazaga yako kibao

Kibao kata mki kikata raia wata wa feel now

Now yes wala sio kesho

Kesho yangu anaijua Mungu alie spesho

Spesho in his Kingdom lazima utampenda

Utampenda tu hata kama sio leo kuna siku utasalenda
 
Naanza namna hii
Fake wote piga chini /

Kurap sio tu fasihii
Kichwani pia uwe makini/

Marapa nawapaka manii
Jukwaani nawavisha bikin/

Unayejicompare na me
Mwenzako na ID tisini/

Wananiita Daby
Master wa huu mchezo/

I'm kasie's hubby
Na kwangu amekidhi vigezo/

Kamwe Sinyei kambi
Kisa umashuhuri wa Dezo/

Hata nikinyaka chambii
Ntawaheshimu kama mwanzo/

Mazee mjitokeze mliopo free kwasasa basi mpige battle game linoge...
 
Hizi kazi zinakesha ka' Fid Q na Mabundi,

Acha kujichekesha Hapa upo mbele ya fundi,

Ngome haipenyeki kama ya Mwanamalundi,

Peke yako hauniwezi nenda rudi na kundi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…