Yupo, tumemua mambo yetu yawe private. Ndiomana nikamwambia mleta mada kuwa yeye ni mgeni humu, akiwa serious atampata wa kuendana nae na mambo yatakuwa super kati yao.Shemeji yangu mchangamfu Lovie Lady alipotelea wapi mkuu?
Namsalimu.Yupo, tumemua mambo yetu yawe private. Ndiomana nikamwambia mleta mada kuwa yeye ni mgeni humu, akiwa serious atampata wa kuendana nae na mabo yatakuwa super kati yao.
Umeamua kuchimbua makaburi ya watu🤣🤣Ila mahusiano ya JF 😹😹
Humu kuwa na husiano ni kama wote mmekosa kazi za kufanya, sasa mnahitaji kucheza ki-mama mama na ki-baba baba..
Mara nyingi mapenzi huishia pabaya..!!
Salamu zitamfikia. Asante sanaNamsalimu.
😀😀 Onhoo Asante Mkuu, ila umeongeza chumvi
Aliyechimbua selikavu 😹Umeamua kuchimbua makaburi ya watu🤣🤣
Nakumbuka miaka ile nilichumbiwa na ONTARIO lakini sikuambulia hata senti licha ya utajiri wake wa forex.Aliyechimbua selikavu 😹
Aisee hapana we hatari
Acha kabisaIla mahusiano ya JF 😹😹
Humu kuwa na husiano ni kama wote mmekosa kazi za kufanya, sasa mnahitaji kucheza ki-mama mama na ki-baba baba..
Mara nyingi mapenzi huishia pabaya..!!
Kwa lugha nyingine ayatollah ndio the bold???Umemuumbua huyu.
Mbunye zipo sema hazipiti na upepo wake, leo anasema jf hakuna mbunye wakati yeye alikua mmliki wa mbunye humu, watu wanajisahau sana