Mimi sio mchawi na sijawahi kuroga lakini ili kufikisha ujumbe ilinibidi kuvaa uhusika... Nina elimu kubwa na ufahamu juu ya uchawi ushirikina na ulozi hivyo najua ninachomaanisha
Je ulishawahi kuwa mfanyakazi wa kuhudumia wapendwa wetu waliotangulia mbele za haki(Mochwali) kama mwenyewe unavyojinasibu kwenye nyuzi zako mbali mbali?