Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Kijana hebu tupe picha moja faster...
We missed you so much...
Hahahahahaaa kijana nomaaaaaaaboflo ni ndugu yangu mdogo wangu ngoja aendelee kusherehesha hakuna tabu
Hahahahahaaa kijana nomaaaaaaa
Dah leo kanifurahisha sana kiukweli dah
Mwali umemwona?
Hahahahaaa alama utazionea wapi?nimeshautana naye ...ndio namsalimia huku na kumchunguza kama kuna alama zangu niliziweka kabla sijaondoka
thanks God nimemaliza shughuli zangu na nimeona niendelee kujumuika nanyi tena.
Unamaanisha ulijipa voluntarily BAN?
Kujipa Bann lazma maana lazma kazi iwe down kila siku laba uwe mlinzi..pia hata ukiwa mlinzi lazma wezi watakuwahi maana muda wote utakuwa busy na JFUnamaanisha ulijipa voluntarily BAN?
Hahahahaaa alama utazionea wapi?
Yuko poa siunaona kabadili na viwalo kisa wale macho juuujuu wasimjue kwa haraka maana walikuwa wanahahaaaa eti wanataka kumsomesha mara oooh atakaaje muda wote bila ile kitu hadi urudi....
Yan hawafai....
Ukitaka nikutajie ntakuambia ni akina nani
Ok safi sana kaka na mimi kuanzia kesho najipa ban ingawa yangu ni ya masaa tu kwa sikuyap..nawweza kusema hivyo..niliji isolate ili niweze kumaliza majukumu flan
Hahahahahaaa zawadi yangu ni kamoja au?hahah...leo lazima patachimbika ngoja nimalizie kumkagua..nikikuta kasoro lazima nije kwako hapa unipe info na una zawadi yako mkuu wangu
thanks God nimemaliza shughuli zangu na nimeona niendelee kujumuika nanyi tena.
Hahahahahaaa zawadi yangu ni kamoja au?
Hahahahahaaaaaaa nashukuru in advance mkuu
Hahahahaaa kwani akinipa kandovu kamoja kuna ubaya?sasa mkuu mbona unaenda mabli tena..hujui shem wako namheshim sana, hadi namuogeshaga:bathbaby: