JF Habari magazetini au vijarida

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Ila nina ushauri, sisi wanaJF ni wachache. Kama kuna uwezekano kuweka kwenye magazeti kama Mwananchi, Tanzania Daima e.t.c

Kama vile tunavyocopy na kupaste kutoka kwenye magazeti na kuleta JF.

JF kuna hoja nzuri sana ila hazipati mwanga. Nashauri baadhi ya hoja pamoja na majadiliano yachapishwe kwenye Magazeti au vijarida.

Lets try
 
wazo zuri sana, tatizo hilo gazeti alianzishe nani? mapato tutagawana vipi? du ila kuna mzee mmoja ni bingwa wa kucopy kwenye magazeti na kupaste HAPA huwa ananifurahisha sana
 
Mkuu nahisi baadhi ya watu tayari wanatumia information za jamvi hili kny magazeti yao, just chunguza mkubwa!
 
Habari za humu jamvini wengi huwa wanazitumia kwenye magazeti. Nadhani njia ya vijarida inaweza kuwa bomba kuliko kutumia magazeti.
 
it is a two way traffic kuna habari nyingine nying zinakuja HAPA zikitokea magazetini, sasa inategemea wewe umeanza kusoma zipi, jaribu kuoanoisha gazeti limetoka lini na post imeletwa lini hapa. ALL in ALL it is GOOD to be NEWZ maker na hii itatusaidia sana kwani mawazo ya humu yatakuwa yanawafikia watu wengi sana.
 
Back
Top Bottom