Ndo maana ya dress code dear. Ndo maana wanaovaa madera au baibui au NGUO yeyote kwa wadada iwe nyeusi. Wanaume sitak kuamini hamna ambae hana jeans ya blue au nyeusi
Personally sikuona suggestion yako. Ulisuggest tufanye eneo gani? Ukumbuke hapa mjini maeneo kariby yote yanalipwa hasa huko beach uliposema. Coco hapafai kukutana labda tuandae makutano ya kwenda kula mihogo
Kweli hapo nimekuwa mbinafsi, ila nimechukulia first plan Kigamboni, then Kinondoni naona kama ni Centre, hata Uber, Taxify, Bajaj zinapatikana kwa wasio na private.
All in all tuombe ifanikiwe, maana hakuna party isiyo na changamoto.
Kuna watu hatutakuja kwa sababu binafsi lakini tunasingizia dress codes, ukumbi nk