Naona wafitini mnaanza kupangua na kupanga vichwani mwenu.
Party natamani ifike.
Wale wanaoiombea mabaya wadhalilike.
Na wale jukwaani mikwara kumbe moyoni wanaogopa naomba waumbuke pia.
MUNGU TUSAIDIE JAMANI
DUNIA INA MENGI....YA NDANI NA YA NJE.
MEMBERS KARIBUNI SANA.
TUNAWAPENDA SANA.
By waandaaji; Mzigua90 & Madame B featuring Jamii Media.
Thanks.
Kwa taarifa yako tu, espy amepata ofa ya kuanzia kichwani mpaka miguuni plus kiingilio.
Lazima aje...anaachaje kwa mfano.
Twataka wenza tudamshi siku hiyo
Hivi huu ni mkosi ama? Maana hadi sasa hivi sijapata mtu wa kudamshi naye siku hiyo... Akina dada wa humu nipo tayari kukulipia kiingilia pamoja na mavazi kuanzia juu hadi chini... Jitokezeni basi maana naona witnessj katoka nduki