FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Daaah nimekumbuka mbali sana, hope umekumbuka piaAnasifia sana imebidi nimshtue shemeji

Daaah nimekumbuka mbali sana, hope umekumbuka piaAnasifia sana imebidi nimshtue shemeji

hamna kwendaumenielewaje??
yamekua haya lakini si kwa ubayamhhh nini?? me nakuangalia tu
hahahaa nimekomakunjua tu moyo tu mama
hajamanisha kwa ubayame namuona tu tangu jana na huu usifiaji si wa kawaida messages zaidi ya tano mtu anasifia tu 😀😀
Hivi kuna kusifia kwa ubaya ?hajamanisha kwa ubaya
#Firdowsanawasifu sana kwa kweli kama stara ndio kupata pepo wale jannat firdaus ni yao

Tujumuike pamoja jamani, itapendeza sana.hamna kwenda
Hahahaahaha. NimekumbukaDaaah nimekumbuka mbali sana, hope umekumbuka pia![]()
Hahhaha December na ifikege tuHahahaahaha. Nimekumbuka

Swimming pool....mkuu
Bwalo=Hall=UkumbiWazungu hao kiswahili hawajui ngoja nikae kimya
Bwalo ndo nini?
tunawaza pamoja sana!....Nasubiri ya 35+ wangu!!![]()
hili nalo nilijibu??Hivi kuna kusifia kwa ubaya ?
me ndio nishanyimwa kuja hivo mtatuwakilishaTujumuike pamoja jamani, itapendeza sana.
Hapa unatakiwa kutilia mkazo tu sio kujibu.hili nalo nilijibu??
Asante kumbe ata mimi holaBwalo=Hall=Ukumbi
Pool=Bwawa
Sio bwalo la kuogelea ni bwawa la kuogelea.
me namuona tu tangu jana na huu usifiaji si wa kawaida messages zaidi ya tano mtu anasifia tu 😀😀
kumbe ni mkeo mkuu, basi sirudii tena, bahari mbaya kusifia kizuri ni desturi yanguNiliwahi bamba nyama hadi tulibebaWanatubagua tusiokunywa pombe Hahahaha
Ni kweli kabisa mkuuBwalo=Hall=Ukumbi
Pool=Bwawa
Sio bwalo la kuogelea ni bwawa la kuogelea.