Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Sep 15, 2018 #1,041 ukhuty said: ujifunzage ngumi na wewe khaa numbisa akisafir je pooooh Click to expand... Mmh. Ndugu yangu akisafiri kwanza hata kuchangia huwa nachangia kwa machale ili tu nisije nikachokozwa maana hakutabiriki huku. ππππ Ila mdogo wangu kwani huna nguvu? πππππninong'oneze naskiza.
ukhuty said: ujifunzage ngumi na wewe khaa numbisa akisafir je pooooh Click to expand... Mmh. Ndugu yangu akisafiri kwanza hata kuchangia huwa nachangia kwa machale ili tu nisije nikachokozwa maana hakutabiriki huku. ππππ Ila mdogo wangu kwani huna nguvu? πππππninong'oneze naskiza.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 Sep 15, 2018 #1,042 Jamani rogie sio ww ndio unilipie mm kuna boss wangu kubwa fakalava nimemwambia anilipie najua hatakataa Rogie said: Shunie lipa basi twende Click to expand...
Jamani rogie sio ww ndio unilipie mm kuna boss wangu kubwa fakalava nimemwambia anilipie najua hatakataa Rogie said: Shunie lipa basi twende Click to expand...
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,326 Reaction score 52,045 Sep 15, 2018 #1,043 Hivi utakuwepo Best? Hajar said: Mmh. Ndugu yangu akisafiri kwanza hata kuchangia huwa nachangia kwa machale ili tu nisije nikachokozwa maana hakutabiriki huku. Ila mdogo wangu kwani huna nguvu? ninong'oneze naskiza. Click to expand...
Hivi utakuwepo Best? Hajar said: Mmh. Ndugu yangu akisafiri kwanza hata kuchangia huwa nachangia kwa machale ili tu nisije nikachokozwa maana hakutabiriki huku. Ila mdogo wangu kwani huna nguvu? ninong'oneze naskiza. Click to expand...
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Sep 15, 2018 #1,044 witnessj said: Hi Rogie Click to expand... Utanilipia twende eti!?
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 Sep 15, 2018 #1,045 Nimecheka mm kauli yangu umeshaikia itekeleze tu fakalava said: Karibu mama! nilikuwa nasuiria kauli yako tu. Click to expand...
Nimecheka mm kauli yangu umeshaikia itekeleze tu fakalava said: Karibu mama! nilikuwa nasuiria kauli yako tu. Click to expand...
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Sep 15, 2018 #1,046 Shunie said: Jamani rogie sio ww ndio unilipie mm kuna boss wangu kubwa fakalava nimemwambia anilipie najua hatakataa Click to expand... Hahahahaha
Shunie said: Jamani rogie sio ww ndio unilipie mm kuna boss wangu kubwa fakalava nimemwambia anilipie najua hatakataa Click to expand... Hahahahaha
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 Sep 15, 2018 #1,047 Hajar said: Mmh. Ndugu yangu akisafiri kwanza hata kuchangia huwa nachangia kwa machale ili tu nisije nikachokozwa maana hakutabiriki huku. Ila mdogo wangu kwani huna nguvu? ninong'oneze naskiza. Click to expand...
Hajar said: Mmh. Ndugu yangu akisafiri kwanza hata kuchangia huwa nachangia kwa machale ili tu nisije nikachokozwa maana hakutabiriki huku. Ila mdogo wangu kwani huna nguvu? ninong'oneze naskiza. Click to expand...
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,155 Reaction score 137,167 Sep 15, 2018 #1,048 Madame B said: Khe!! Mbona vita sasa? Alikulia chako nini..... Itabido siku hiyo kazi ya ulinzi nimpe Mwarabu the fighter. Maana naona watu mnataka kulipiziana visasi. Click to expand... Nah, sijawahi kuliwa changu na yeyote. Ila ni lazima tushikishane adabu huko uraiani. Sina hakika kama Mwarabu fighter atatosha. Labda muweke na polisi wenye silaha za moto kabisa.
Madame B said: Khe!! Mbona vita sasa? Alikulia chako nini..... Itabido siku hiyo kazi ya ulinzi nimpe Mwarabu the fighter. Maana naona watu mnataka kulipiziana visasi. Click to expand... Nah, sijawahi kuliwa changu na yeyote. Ila ni lazima tushikishane adabu huko uraiani. Sina hakika kama Mwarabu fighter atatosha. Labda muweke na polisi wenye silaha za moto kabisa.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 Sep 15, 2018 #1,049 Rogie said: Hahahahaha Click to expand...
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,275 Sep 15, 2018 #1,050 Siamini, Kama mpaka page ya 50 naa hakuna mtu aliyenitag ok ok nani kachefua hali ya hewa tumuanzishie?
Siamini, Kama mpaka page ya 50 naa hakuna mtu aliyenitag ok ok nani kachefua hali ya hewa tumuanzishie?
absamb JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 546 Reaction score 451 Sep 15, 2018 #1,051 'Na sisi masai tunaruhusiwa..!!??' ila sime sitaacha.
Kwekitui JF-Expert Member Joined Oct 29, 2017 Posts 1,071 Reaction score 1,087 Sep 15, 2018 #1,052 Mngeeta Bagamoyo sasa mnaenda Kinondoni
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,561 Sep 15, 2018 #1,053 Beef Lasagna said: Natamani niwepo ila muda huo nitakuwa Niko hoi ..β¦... Nahesabu siku za kuingia leba Mimi Niko huku chilondolo nafagilia mikorosho utanitupia updates za kutosha πππ Click to expand... Oooh Basi Fanya tutengeneze tugeza pati ya wawili tu. Tuifanyie hata kawe bichi
Beef Lasagna said: Natamani niwepo ila muda huo nitakuwa Niko hoi ..β¦... Nahesabu siku za kuingia leba Mimi Niko huku chilondolo nafagilia mikorosho utanitupia updates za kutosha πππ Click to expand... Oooh Basi Fanya tutengeneze tugeza pati ya wawili tu. Tuifanyie hata kawe bichi
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,457 Sep 15, 2018 Thread starter #1,054 Nyani Ngabu said: Nah, sijawahi kuliwa changu na yeyote. Ila ni lazima tushikishane adabu huko uraiani. Sina hakika kama Mwarabu fighter atatosha. Labda muweke na polisi wenye silaha za moto kabisa. Click to expand... Orait Nimekusoma
Nyani Ngabu said: Nah, sijawahi kuliwa changu na yeyote. Ila ni lazima tushikishane adabu huko uraiani. Sina hakika kama Mwarabu fighter atatosha. Labda muweke na polisi wenye silaha za moto kabisa. Click to expand... Orait Nimekusoma
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Sep 15, 2018 #1,055 aretasludovick said: Hivi utakuwepo Best? Click to expand... Hahahaaa. Hapana best. Huku Namnyamba ruhusa za kuja mjini ni changamoto. πππ
aretasludovick said: Hivi utakuwepo Best? Click to expand... Hahahaaa. Hapana best. Huku Namnyamba ruhusa za kuja mjini ni changamoto. πππ
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 Sep 15, 2018 #1,056 amu said: Siamini, Kama mpaka page ya 50 naa hakuna mtu aliyenitag ok ok nani kachefua hali ya hewa tumuanzishie? Click to expand... Umepotea sana khaaaa!
amu said: Siamini, Kama mpaka page ya 50 naa hakuna mtu aliyenitag ok ok nani kachefua hali ya hewa tumuanzishie? Click to expand... Umepotea sana khaaaa!
Kwekitui JF-Expert Member Joined Oct 29, 2017 Posts 1,071 Reaction score 1,087 Sep 15, 2018 #1,057 Nitawachangia Watanga wenzangu Mzigua 900 Ukhty Hajar Shunie
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Sep 15, 2018 #1,058 Arabela said: Miss you Click to expand... Miss you too Arabela
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,326 Reaction score 52,045 Sep 15, 2018 #1,059 tangu jana nawaambia watu kuwa nutakuwepo kwaajili yako kumbe wewe hauji? Ndio basi tena Hajar said: Hahahaaa. Hapana best. Huku Namnyamba ruhusa za kuja mjini ni changamoto. Click to expand...
tangu jana nawaambia watu kuwa nutakuwepo kwaajili yako kumbe wewe hauji? Ndio basi tena Hajar said: Hahahaaa. Hapana best. Huku Namnyamba ruhusa za kuja mjini ni changamoto. Click to expand...
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Sep 15, 2018 #1,060 Kwekitui said: Nitawachangia Watanga wenzangu Mzigua 900 Ukhty Hajar Shunie Click to expand... Ewaaaaaaa. Huu ndio undugu sasa. Ndugu zangu mje huku kaka kajitolea. ππππ
Kwekitui said: Nitawachangia Watanga wenzangu Mzigua 900 Ukhty Hajar Shunie Click to expand... Ewaaaaaaa. Huu ndio undugu sasa. Ndugu zangu mje huku kaka kajitolea. ππππ