JF generations LTE

Nje ya mada
Binti yangu kaniuliza kuhusu jamii forum Leo. Anaingia second year.
Nimemjibu ni jukwaa la great thinker kiukweli kazunguka humu nimepigwa spana natoa macho nakutana na mada hii.
Majibu yangu hayaeleweki
Nimecheka sana ila kwa uchungu.

Mshana Jr leo dada ukweli ni kuwa JF imekuwa ya kiboya sana ni basi tu tunaingia kwa mazoea humu.
 
Nadhani ilivyokuaga hapo awali ndio ilipaswa kuwa hivyo kulingana na zama na ilivyo sasa ndivyo inavyopaswa kuwa hata itakavyokua baadae ndivyo itakavyotakiwa kuwa coz Kila generation inakuja kinamna tofauti, so kuna namna kama ulikua kwenye zama fulani za generation yako, generation mpya ikija utajikuta tu unashindwa kufit kwenye mitazamo yao mingi na ndio hapo unakuta watu wengi ambao walikuwepo zama hizo wamebaki kuwa wasomaji tu.
 
Tunataka jukwaaa la mashangazi..
Jf iwe huru tupewe uhuru wa vijana kuwa connected na mashangazi wanao patikana humu jiefu.
 
Nimecheka sana ila kwa uchungu.

Mshana Jr leo dada ukweli ni kuwa JF imekuwa ya kiboya sana ni basi tu tunaingia kwa mazoea humu.
Nadhani pia ni mahitaji ya nyakati... Na AI imechukua nafasi ya critical thinking

Target audience theory..!๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ