wanikumbusha mbali,vile wasema marindaKaskazini baridi , ndugu zako tunaganda
hadi mvua zenye radi, Mola ndiye atulinda
tumezipanda saladi, ili njaa kuishinda
tumeiweka ahadi, wala hatutoipinda
kweli tutajitahidi, japo twavaa marinda!
"th best" why pick me nigga if u dont b'liv I am,
man control your charm, al control my calm,
You Idd Amin, natuma kwako salam,
kama Nyerere in 19-seventy nine, the old man frm Butiama,
will take you from your hide-out,
and bring you to your fall-down,
4ever all be wearing the crown.
wanikumbusha mbali,vile wasema marinda
marinda vazi laheshima,kwa watz wa miaka ya nyuma
wazee wetu waliringa,walipovaa marinda
wazee licheka sana walipokunywa mirinda
kaka tuache kucheka,turudi kwenye ile hoja
nina siku thelathini,nabeba ile jumla jumla
kaka naomba ahadi,ili niende na muda
kaka sikusumbui,ila nakukumbusha
leo nimefurahi uliponikumbusha marinda
uliyeanzisha beto hii (nguli) ni kinda
wewe kwa sasa chako kitanda
huu ni uwanja wa makamanda
mkuu wa kikosi mie mziwanda
mziwanda nina sura ya Pinda
mtoto tutakuandalia sanda
u feel me niggah!!!
player get your mind right,
I'm about to flip the script
your freestyle battle aint legit
you acting like I aint the one
then why you trying to get me to battle you, Nyerere's grandson?
man you don't wanna battle me or my 5 year old cousin
stop running around acting like you gonna do somethin
we all know you frontin'
kijana tuliza boli, angalia usije kupaisha
kama vipi,kaa pembeni nikuonyeshe ball control kama ya Hussein Marsha
mistari yako haileweki utadhani maelezo ya waziri Masha
naona unahema kwa spidi, vipi umeanza kuchemsha?
Mzindakaya ooo no Mzindaya mbona wanitusi?
Nitakutokea hapo nikupe za uso unione nuksi,
Kughani kunakushinda unaanza kupiga fiksi,
Kwanza nitakupiga wapi mtu mwenyew mfupi ka fisi.
Labda nije kukuparua parua na kiwembe zako chunusi.
Umemfanya hadi invisible kakacha kutema wake ushairi,
Shauri ya pumba zako zimemfanya aone thread kama shubiri,
Ngoja nipige kazi nisubiri jibu la lako likiniuzi nakutupa burundi.
Nakuchana chana chana wazi wazi wewe mchina mgombea ubunge,
Unatafuta kura kwa nguvu kupitia mgongo wa wapwazi koma mfwate kingunge,
Ukiendelea kutufwata fwata nitamtuma chrispin na Radical waweke nyeti zako nge,
Nafikiri utang'atwa na kiherehere chako kitakwisha kabisa na atakutibu dr. Matunge.
Kama uko tayari kwenye yetu hii fani karibu nikupe za chembe nikate nahayo matende
nguli kawa nguli, kawa Cena, kawa snoopy!
dont mess with this niggah, lil puppy
unasepa kivuli chako, u ain't happy?
this is free stlyle not politics
sikujua mtindo huru waz for the chicks
sikujua, sorry nikajimix
let me take my precious time, niggah
coz i ain't get no single dime, huh!
wape hi wapwaz!
kumbe huwez kaz
laini kama vaz
tchao, niggah!
Daaaamn! your joints smell getto,
noooo! aint talking about ng'ang'alito, yule zake za kitoto,
keep representin, keep fightin em like apocalypto.
too many niggaz wame-save,
to these rhymes them niggaz are slaves!
Nakuchana chana chana wazi wazi wewe mchina mgombea ubunge,
Unatafuta kura kwa nguvu kupitia mgongo wa wapwazi koma mfwate kingunge,
Ukiendelea kutufwata fwata nitamtuma chrispin na Radical waweke nyeti zako nge,
Nafikiri utang'atwa na kiherehere chako kitakwisha kabisa na atakutibu dr. Matunge.
Kama uko tayari kwenye yetu hii fani karibu nikupe za chembe nikate nahayo matende
aaaaaaaaaaaaaah vijana nimeanza ku doubt proffesional's zenu
mnaghani kiasi namna hii loh
hata hivyo Big up kwenu
aaaaaaaaaaaaaah vijana nimeanza ku doubt proffesional's zenu
mnaghani kiasi namna hii loh
hata hivyo Big up kwenu