JF Focus: Interview with Maxence Melo

mkuu Maxence Mero,ningependa fahamu ,Je ,idea ya kuunda jf imetoka ktk mtandao wa stormfront-white nationalist movement wa europe au its ur own innovation?
Umeona mwenzio hana kichwa kwa hiyo akakopi hao unaowasema??? Mtie moyo Max ili tupate vitu fresh achana na stories!!!!

 
Tena ntahakikisha la kwako halisomwi kabisaa! Unatishia ndoa yangu,lol

mi najua Paw ni muelewa hawezi kuvunja ndoa. Nway, tunasubiria j3.. (halafu sipendi usiriaz uliouonesha leo). Lol.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
mi najua Paw ni muelewa hawezi kuvunja ndoa. Nway, tunasubiria j3.. (halafu sipendi usiriaz uliouonesha leo). Lol.

Na ndo nnachompendea Paw wangu. Yaaninpale nimefika mwisho wa reli, mataruma nimeuza kama chuma chakavu. Ndoa haivunjiki hata kwa koleo. Ukijisogeza tena 😛hone: Kongosho, :caked: Ama babu Asprin :croc:

Sasa si nakuwa kikazi mamii, ujue wananiandaa Maxence aki-RIP nimrithi
 
Last edited by a moderator:
Mmh, mbona kimya? Vipi kuna link nyingine ya hii interview au King'asti anaogopa kuuliza maswali maana naona mods wote wako hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mmh, mbona kimya? Vipi kuna link nyingine ya hii interview au King'asti anaogopa kuuliza maswali maana naona mods wote wako hapa.

:croc:

Interview imeahirishwa hadi jumatatu. Leta swali unaloliogopa nimvae nalo Maxence Melo baba, im a retired soul jah
 
Mbona kimya? si mlisema leo saa tano ndio tena mnarudia interview baada ya siku ile kushindikana? niko nina refresh new page lkn sion thread ya exclusive interview...au mchoko wa vinywaji wa jana EID umeharibu mpango mzima?
 
Kumradhi wana JF, ile Interview iliyokuwa ifanyike leo kati ya JF Founder Maxence Melo na King'asti imeahirshwa kutokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wetu hadi pale itakapotangazwa tena na Madam Roulette.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na ambao utajitokeza.
 
Last edited by a moderator:
Hivi leo ndo jumatatu? Hii intavyuu inataka kuingilia ratiba yangu ya bia. King'asti come this way tutete kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Naona JF Leo imepata kizunguzungu Kama CHA TBC wanachopataga wakitaka kurusha hotuba za JK
swali: kwa nini sioni sent from my I pad kwa wale wanatumia hivyo vitu ka ilivyo wa blackberry na nokia?
 
Eh! Ni kwamba huyu jamaa yuko busy sana au hana control na timetable yake. Maana sababu zilizopo "nje ya uwezo wenu" ni nyingi sana.!

Mimi naomba compensation ya kuahirisha mambo yangu mara mbili ili kusubiria interview. Use my voda number for the transfer.
 
Kwa hiyo interview itafanyika siku yeyote!
 
Kiswahili/Tafsiri ya haya ulioandika muhimu please!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…