Mzee wa ngano
Senior Member
- May 3, 2012
- 184
- 55
Kuanzia lini mtaanza kuzipa thamani michango ya posts na hivyo kuweza kununua u-premium membership?
Asanteni sana, tunaendelea kupokea masuali toka kwa members. Hadi sasa ni suali 16 tu zilizo ulizwa (some questions were repeated) na Mkuu Maxence kasema anaweza kuongeza idadi ya suali zitakazo jibiwa kuhakikisha members wanaridhika na interview hii. Karibuni wote.
maswali mnayahakiki kwanza ndio yaonekane hapa au? Mi nimeandika yangu ila siyaoni hapa.
Mimi ni mgeni kabisa hapa kunako jf. Kinachonisumbua ni terminology zinazotumika humu jamvini. Utakuta mwanzo wa mada mara iandikwe 'sticky' mara 'topic' mara 'moved'. maneno haya yana tofauti gani?. Halaf hua naona humo katikati ya maelezo kuna wakati mnaandika MENTION= ikifuatiwa na namba nyingi nyingi. Mnamaanisha nini jamani?.
Mkuu 'sticky' ni mjadala ambao umegandishwa katika Forum, ukiangalia kila forum ina 'sticky' katika ukurasa wake. Vigezo sielewi ila angalia hizo mada utakuta zote ni muhimu kulingana na forum husika.
Topic, ni mada yenyewe. Kama hii tuliopo hapa ni mada yenye topic inahusiana na 'JF Focus; Interview itayohusisha mmoja wa waanzilishi'
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe 100 kwa 100 kama magamba wenzako wanavokariri.kuna umuhimu sasa kuwaalika wanasiasa ambao ni members humu JF (Verified User) kutoka vyama vyetu vya siasa kufanya Interview humu JF kwa mpangilio wa masuali kutoka kwa members wa JF.JF Daima
Roulette,
Kwanza nawapa pongezi za dhati Maxence Melo, Mike McKee, Invisible, na Mods wote wa JF pamoja na members wote wa JF kwa kuifikisha hapa JF na inaendelea kukuwa kasi.
Roulette, kuna umuhimu sasa kuwaalika wanasiasa ambao ni members humu JF (Verified User) kutoka vyama vyetu vya siasa kufanya Interview humu JF kwa mpangilio wa masuali kutoka kwa members wa JF.
JF Daima
Mimi ni mgeni kabisa hapa kunako jf. Kinachonisumbua ni terminology zinazotumika humu jamvini. Utakuta mwanzo wa mada mara iandikwe 'sticky' mara 'topic' mara 'moved'. maneno haya yana tofauti gani?. Halaf hua naona humo katikati ya maelezo kuna wakati mnaandika MENTION= ikifuatiwa na namba nyingi nyingi. Mnamaanisha nini jamani?.
Kwa sababu zilizo nje na uwezo wake, Maxence Melo kaomba interview isogezwe saa sita kamili. Asanteni kwa uelewa.