meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Good question. Suala la usalama wa JF Owner, bila shaka limerekodiwa, na likichaguliwa litajibiwa hapa hapa.
Asante sana kwa pongezi Mkuu wangu. Nadhani limewafikia wahusika, na mimi kama Mod na kama member nalipokea kwa mikono miwili.Roulette,
Kwanza nawapa pongezi za dhati Maxence Melo, Mike McKee, Invisible, na Mods wote wa JF pamoja na members wote wa JF kwa kuifikisha hapa JF na inaendelea kukuwa kasi.
Roulette, kuna umuhimu sasa kuwaalika wanasiasa ambao ni members humu JF (Verified User) kutoka vyama vyetu vya siasa kufanya Interview humu JF kwa mpangilio wa masuali kutoka kwa members wa JF.
JF Daima
Bila shaka pongezi lako kwa uongozi wa JF limefika. Suali lako hili limekua likirudi mara kwa mara, nadhani litachaguliwa katika masuali kumi ya kumuuliza mkuu Maxence. Asante sana MolemoBinafsi natoa pongezi za dhati kabisa kwa Maxcence Mello na uongozi wote kwa ujumla.Kiukweli baadhi yetu tunaiamini JF kama source ya ukweli kwa habari yoyote,binafsi kipindi JF ilipofungwa kwa matengenezo nilikuwa kama mgonjwa vile.Hakika JF iko ndani ya damu!
Sasa Swali: Imetokea baadhi ya watu wanajiunga na JF kwa nia mbaya ili kuuchafua mtandao huu uonekane hauna maana.Njia wanazotumia kuuchafua mtandao huu ni kuleta tuhuma za uongo dhidi ya watu wengine hasa wale wanaopendwa na jamii ili wachafuke.Tuhuma hizo zinakuwa hazina source yoyote ya habari sasa je Uongozi utatumia njia zipi kukomesha hali hii? Na swali la Nyongeza Uongozi utatumia njia gani kudhibiti watu wanaosajili ID nyingi tofauti ambazo zinakuwa ni maalum kujadili na kuchafua baadhi ya watu?
Pongezi wameshatoa wengi, swali langu ni kuwa how is JF funded? If its through conteibutions or otherwise, would you be kind to indicate all of its funding sources and or provide audited financial reports at least annually?
Note: I am askingnthis because JF has been associated with several prominent political figures and or parties particularly, when a several topics are deleted or edited without consent of the primary author or a member with ' mlengwa wa kushoto' ideas is banned!
Asante sana Babu kwa pongezi lako, na suali lako linaingika katika list ya masuali. Mwisho masuali mengine, kama hili na la mkuu MLOsi K. Mlutumbi zinaweza kuunganishwa ili kupunguza idadi ya masuali. Asante sana mkuuAhsate sana Roulette kwa thread hii muhimu sana,
Kwanza kabisa, nakupongeza wewe na wakuu wote katika timu ya uendeshaji wa JF (chini ya kamanda Max) kwa kazi ngumu ila muhimu sana mnayofanya ya kuiendesha, tena kwa mafanikio makubwa. Huwa mara nyingi nasema kwamba, hata kama mambo mengi yanatushinda na tunaonekana vilaza/viazi (wajinga wa kutupa), JF imeonesha pasipo shaka kwamba Watanzania tunaweza kubuni na kutekeleza mambo yetu kwa kiwango cha juu kabisa cha mafanikio!!
Pili, naomba nikiri kuwa mimi binafsi nimekuwa nikiguswa sana na JF kama network na manufaa ambayo sisi members na wadau wengine wanayapata. Hata hivyo, ningependa kujua mpango mkakati wa kibiashara wa JF (JF business strategic plan) kwa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu (short term, medium and long term business strategies) ambazo zitaonesha jinsi management ilivyojipanga kuhakikisha hili jukwaa halifi kama policies zetu including ujamaa zilivyokufa kifo cha ajabu ajabu.
Pia, naomba Max atueleze ni kwa jinsi gani management ya JF imejipanga kuwashirikisha members katika kuipa uhai JF (financing and running) ili kuwapunguzia mzigo wadau wachache ambao wamekuwa wanatumia muda wao na resource zao nyingi kuhakikisha JF inaendelea kuwepo hewani!
Naomba niishie hapa ili wadau wengine waongezee!
Roulette,
Kwanza nawapa pongezi za dhati Maxence Melo, Mike McKee, Invisible, na Mods wote wa JF pamoja na members wote wa JF kwa kuifikisha hapa JF na inaendelea kukuwa kasi.
Roulette, kuna umuhimu sasa kuwaalika wanasiasa ambao ni members humu JF (Verified User) kutoka vyama vyetu vya siasa kufanya Interview humu JF kwa mpangilio wa masuali kutoka kwa members wa JF.
JF Daima
Naunga mkono hoja! Nakumbuka mwaka jana alialikwa Dr. P. W. Slaa na ilikuwa nzuri sana licha ya mapungufu yaliyojitokeza. Mwenzetu Faiza Fox alipigwa ban kwa kuporomosha matusi ya nguoni kwa mgeni wetu baada ya kushindwa kuhimili hisia zake. Namshukuru mgeni kwa kuelewa na kumpuuza ingawa haikumsaidia FF kuepuka ban. Nawaomba tu tuzihimili hisia zetu hasa tunapokuwa na mgeni wa itikadi tofauti na zetu. Otherwise ni utaratibu mzuri na utafaida sana kwetu!
Good idea
first sijaona Kinga'sti akirespond na hii thread
why? tusije fika siku hiyo halafu hayupo?
Pili swali langu kwa uongozi wa JF....ni kuhusu member wa zamani William le Mutuz...
What really happened between JF na William?
je walimfukuza?alijitoa?why?