wasije wakasikia,siri yetu hiyokama we jaji lazima favourtism ihusike japo kwa mbali
Mie make up jamani.
Kama wewe jaji basi bila shaka lazima niuze kwenye cover ukizingatia na sifa ninazo hakuna wakupingasi umeona nipo kwenye jopo la majaji,lazima ushinde
ok mpenzi wa mie wala usijali,na huo urembo wako mbona ushapitaKama wewe jaji basi bila shaka lazima niuze kwenye cover ukizingatia na sifa ninazo hakuna wakupinga
farkhina wewe utacheza part ipi?
kipendele cha umbea tafadhali mimi..... Kongosho na charminglady......tushakiwahi.........na bila kumsahau Zinduna...........
Kila kitu kinafanya laivu bila chenga haina misoftwea ya kuongezea manjonjo.Alafu zile hot scenes tunafanya za kweli kweli sio kuchakachua lol.....
cheka unenepe kaka.Hahahahahhahaaaaa...
Atamruhusu tu kwa kuwa yeye mwenyewe ni muigizaji mzuri tu katika tasnia hii.figganigga naomba umruhusu Heaven on earth ashiriki huo wivu wako punguza tafadhali.
Atakuruhusu tu wala usihofu kwa kuwa lokesheni tutakayoichagua itakuwa ni moto wa kuotea mbali.Hii kali... Washawasha mpaka nipate ruhusa maalum kutoka kwa Erickb52
umeipata wala usihofu.Mimi nataka kazi ya edition
Mie make up jamani.
umeipata wala usihofu.
Nalog off
Tuko pamoja usijali,ni kweli bi dada hapo itanibidi nijitoe na nafasi hiyo nitamkabidhi......Washawasha,
kwa heshima na taazima kubwa nasema asante
kwa kutambua uwepo wangu hapa.
Pia napenda nikupe kaushauri kidogo;
Mwongozaji Washawasha,
natamani uweke kodineta
ili usiwe na kazi kubwa na ngumu huko mbele.