JF female bash

JF female bash

Eti eeee. Ili niwe ka pipa. 😜😜😜
Kuwa kipipa ni asili ya mtu Hajar

Wengine wala hawali sana lakini labda kuna mkale wake alikua mnene na yeye anarithi

Waweza kua unakula lakini wala hunenepi kiviile. Sasa sijui mama au baba yako ni wanene au waliwahi kua vibonge?

Kama ni hivyo basi waweza kuja kuwa kibonge hata kama ni uzeeni
 
Ooh. Nimekuelewa sasa Sesten.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi tena ni pambo halafu ni asali
Mkuu nasemaje ukitaka uamin ni maua, nipale unapopishana nao njiani hahahahha kama ni Mwanaume mkamilifu tu lazima Shingo ikuume kwa kugeuka geuka na kutabasamu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndomaaana Adamu aliona Unyonge baada ya kuona kila mnyama wapo wawili wawili.

Kiukweli, bila wanawanake Dunia ingeboa ingawa wanatuliza lkn 90% ni Maua ya macho, chakula ya akili na mwili[emoji23]
 
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji322][emoji817][emoji123][emoji123][emoji115][emoji115]
 
Mkuu hayo Mambo ni matam zaidi ya Mafenesi....unafanya kitu kma kina bounce[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee Hizi ndo starehe zetu kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom