JF Expected Downtime: October 23, 2019

JF Expected Downtime: October 23, 2019

Status
Not open for further replies.
Wakuu,

Tunatarajia kati ya saa 7 kamili usiku hadi saa 8 usiku wa leo (1:00am - 2:00am) kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na downtime (kutopatikana) kwa Mtandao wa JamiiForums ambayo imepangwa kwa ajili ya kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuboresha mambo kadhaa katika miundombinu.

Mabadiliko hayataonekana kwa macho bali experience ya JF upande wa ufungukaji (kasi) ndo itaongezeka.

Tusingeweza kufanya mabadiliko haya makubwa bila kwenda offline kutokana na sababu zisizoepukika. Mabadiliko mengine ya kimwonekano na upande wa app yatafanyika bila ya kwenda offline kabisa.

Tunawashukuru sana kwa uelewa wenu
Kuna tatizo nalionaga siku hizi, unakuta ume-quote post ya mtu kama hivi, ukaandika ujumbe wako then una-post. Lakini cha ajabu utaonekana umequote ila ujumbe ulioandika hautokei.
Hilo tatizo nimeliona sana upande wa browser hasa opera mini.
 
Sawa invisible ila mathalan kuhusu usalama wa taarifa je mfano email yangu Mimi naiona nikiklik tu vile vimistari pale juu kulia Sasa je mtu anaweza ona personal particular zangu mfano email na vipi Kama nataka kubadili avatar naona inagoma ila kila la heri japo sikuhizi mna merge Sana nyuzi na kudelete pia ban zimezidi Mimi napigwa ban kila baada ya wiki mbili kwa Mambo ambayo hata sio tatizo ukilitazama kwa engo yoyote ile mpaka najiuliza hivi modes wa jf Ni MATAGA
 
Wakuu,

Tunatarajia kati ya saa 7 kamili usiku hadi saa 8 usiku wa leo (1:00am - 2:00am) kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na downtime (kutopatikana) kwa Mtandao wa JamiiForums ambayo imepangwa kwa ajili ya kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuboresha mambo kadhaa katika miundombinu.

Mabadiliko hayataonekana kwa macho bali experience ya JF upande wa ufungukaji (kasi) ndo itaongezeka.

Tusingeweza kufanya mabadiliko haya makubwa bila kwenda offline kutokana na sababu zisizoepukika. Mabadiliko mengine ya kimwonekano na upande wa app yatafanyika bila ya kwenda offline kabisa.

Tunawashukuru sana kwa uelewa wenu
ahsante kwa maboresha
 
Sawa invisible ila mathalan kuhusu usalama wa taarifa je mfano email yangu Mimi naiona nikiklik tu vile vimistari pale juu kulia Sasa je mtu anaweza ona personal particular zangu mfano email na vipi Kama nataka kubadili avatar naona inagoma ila kila la heri japo sikuhizi mna merge Sana nyuzi na kudelete pia ban zimezidi Mimi napigwa ban kila baada ya wiki mbili kwa Mambo ambayo hata sio tatizo ukilitazama kwa engo yoyote ile mpaka najiuliza hivi modes wa jf Ni MATAGA
Wewe unastahili kupigwa ban kila baada ya siku 2.
 
Fanyeni kazi attachment za picha kujirudia mara mbili mara baada ya posting.
 
Asante kwa taarifa,tunawatakia kazi njema...
 
Noted and thanks for the information.
Keep doing your highly commendable job.
A growing number of people can not imagine life without JF especially in such trying times of freedom of speech squeeze.
 
Thanks kwa taarifa, ila na recommend kabla ya kumban mtu ni kheri kungekuwa na warning kwanza ili mtu atambue kosa ban zinaumiza sana aisee.
Otherwise nwatakie kaz njema
 
Hakikisheni mnakaza bolt vizuri, taarifa za watumiaji zibaki salama
 
Kwahiyo baada ya matengenezo sisi tunaotumia app. Inabidi tu download upya?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom