JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

Point zangu mbili tu;

1. Walichofanya kinakubalika. Anaetakiwa kubadilika ni sisi sio wao.

2. Aliyepandisha uzi ana malengo ya kuwakandamiza Ubongo Group na KPMG.
 
Point zangu mbili tu;

1. Walichofanya kinakubalika. Anaetakiwa kubadilika ni sisi sio wao.

2. Aliyepandisha uzi ana malengo ya kuwakandamiza Ubongo Group na KPMG.
 
Where are their names? Name them please! And am sure 99% are from their beloved Chama Cha Makinikia
Among those names were business mogul, Rostam Aziz, Quality Group Limited CEO Yussuf Manji, politician and Member of Parliament for Morogoro – through ruling party, CCM - Abdul-Aziz Mohamed Abood, and the head of Kilimanjaro Safaris Eric Pasanisi.
 
Unaonesha ulichokielewa hapo ni majina tu, ni dhàhiri hata huelewi kwanini hayo majina yametajwa.
 
Nilishangaa Taifa Gas ya Rostam Aziz ilizinduliwa na rais Tanzania hata mwezi haukupita nikasikia imeuzwa kwa kampuni ya Mauritius.

Kazi ipo. RA hakamatiki. Maana kufungua account Mauritius sio kosa. Kosa ni kuchezesha namba na kutolipa kodi. Na hilo linawezekana kabisa. Especially kwenye gharama na so called management fees
 
Kiongozi mbona WikiLeaks walipotoa taarifa kama hii na kuonyesha makampuni ya akina Rostam na Manji na mengine mengi yakiwa kwenye orodha ilikuwa wakati wa awamu ya nne? Hivyo awamu ya nne nayo haikuwa na inajua kuhusu mambo haya?
Ule mtandao wao ulikuwa mtandao wa mapigaji tu. Awamu ya nne usafi kidogo na deal kadhaa
 
Kazi ipo. RA hakamatiki. Maana kufungua account Mauritius sio kosa. Kosa ni kuchezesha namba na kutolipa kodi. Na hilo linawezekana kabisa. Especially kwenye gharama na so called management fees
Hebu ñioneshe hiyo ripoti wapi imesema Rostam kafungua kampuni Mauritius, labda pamenipita!
 
hawana kosa lolote kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…