Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,168
- 28,819
Busara tupu.Yes,
Ndo maana inabidi tuhimizane UZALENDO na kusisitiza zaidi watu kusahau tofauti zao za dini, vyama n,k na tukawa wamoja kuwakataa wanaolizamisha Taifa letu.
Wabunge watusaidie kusimama kuhesabiwa; waweke Taifa mbele lakini asionewe mtu wala asilindwe mtu!
CCM wanaipeleka nchi pabaya, soon tutaanza kuchinjana
Fuatilia 1st post tu mkuu wangu. It will be updated taratibu
CCM wanaipeleka nchi pabaya, soon tutaanza kuchinjana
Kuna vitu vitatu duniani huwezi kuficha navyo ni....
JUA.... MWEZI na UKWELI.
Asante Invisible!
Watabakia kujificha uso huku viuno vikionekana. Mchezo wa kitoto ktk nchi ya watu wazima!
Nasubilia hatua zitakazochukuliwa na hivyo vyombo vya 'ulinzi na usalama'!
Ati document zimeandikwa confidential.....siri za serikali.....kumbe hizo ndo huwa siri za serikali? ......wizi ni siri ya serikali?
TISS ni chombo cha 'siri' za serikali.....?
Nasubili kuona uzalendo wa nchi yetu.....I am already at the crossing line.....mwenye kuanzisha uzi aanzishe tu-confirm wangapi tupo hapo na nini tuko tayari kufsnya dhidi ya hao wezi!
Kwa lipi?
Nakushauri subiri ripoti kamii, sikioni cha maana katika hizi kurasa zilizobandikwa hapa. Bali naona TANESCO inadaiwa na inajaribu kupunguza deni kwa kukaa chini na wadai wake.
Kuna viashiria kuwa watu walionywa au walikuwa na uhakika kuwa malipo sio sahihi ila yamefanyika!!!Kwanini kurasa hizo zinyofolewe? Mbona sijaona ubaya wake kwa upande wowote?
Naona Invisible unamwaga Mboga na maji ya kunawa kabisa,:becky::becky::becky::becky::glasses-nerdy::msela::msela:Nasikia hata hii page imenyofolewa, basi inawekwa public...
mkuu Invisible pls kwa hali ilivyo sasa nadhani hujuma kubwa zaidi zinaweza fanyika hata kukata mawasiliano ya mkongo wa taifa wa mawasilino, au hujuma nyingine zozote zitakazokwamisha mawasiliano.
Ni bora umalizie tu mkuu. Hali ishachafuka sana. Kuna uharamia wa miundo mbinu unaweza fanyika tutashanaana hapa mkuu. mi silali naisubiri kwa kweli. hizo page ulizoweka hazisisimui kabisa, wakati bado mnashauriana weka kwanza zile page zenye majina ya Payees.
Kwanini kurasa hizo zinyofolewe? Mbona sijaona ubaya wake kwa upande wowote?
Kwa lugha nyepesi ni kuwa hawa "nguruwe"(CCM) walizidiana ulafi na kuanza "kudhulumiana"..Sasa kuna kundi jingine la nguruwe baada ya kuona "wamedhulumiwa sana" wakaamua sasa watamwaga ugali..na nguruwe wengine nao wanadai watamwaga mboga Siku ya kumwaga ugali na mboga ni jumatatu kwa hiyo mkuu jumatatu tembea na TV yako
Ndio kusema upinzani walipewa tu hizo datazi kutoka kwa nguruwe"wazalendo"..Wapinzani wakazimwagwa data uwanjani... na huyu mmwaga data mpaka sasa analindwa na hao nguruwe "wazalendo"
Ninavyojua mimi tushukuru huko "kudhulumiana" kwao ndo tumepata hizo data
We mkuu hujaona swala la katiba lilikuwaje!!!upinzani, wamelia wee lakini hawajasikilizwa na swala la katiba ndio muhimu zaidi lakini magamba wakalidharau..lakini hili la mkwanja wamejitokeza hawa magamba sio wakuwaamini mkuu..
Likiisha hili kuna jingine limeshaanza kufumuka..hili ni la ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hapo napo kuna hela ya kufa mtu, hii hela ya Singa wenyewe wanaiita hela ya ugoro hapa ndio CCM itakuwa ni kitimtimu maana hawa watakaojeruhiwa jumatatu lazima wafe na wale wa gesi
Kakobe atakumbukwa...
mkuu Invisible pls kwa hali ilivyo sasa nadhani hujuma kubwa zaidi zinaweza fanyika hata kukata mawasiliano ya mkongo wa taifa wa mawasilino, au hujuma nyingine zozote zitakazokwamisha mawasiliano.
Ni bora umalizie tu mkuu. Hali ishachafuka sana. Kuna uharamia wa miundo mbinu unaweza fanyika tutashanaana hapa mkuu. mi silali naisubiri kwa kweli. hizo page ulizoweka hazisisimui kabisa, wakati bado mnashauriana weka kwanza zile page zenye majina ya Payees.
Invisible nakushangaa unaposema "taarifa za kuanza kunyofolewa kurasa za ripoti hii", unajishusha hadhi yako. Ripoti za mitaani kuchomolewa kurasa wewe au mwingine yeyote wa karne hii zinamstuwa?
Ripoti kamili na rasmi zipo, na wala hizo za mitaani zisikufanye ukakurupuka. Ngoja Zitto aziwasilishe ka mujibu wa kanuni na sheia za bunge, kama zitakuwa mbadala na zile za CG na PCCB hapo ndipo utakuwa na la kusema, kwa sasa chunga hadhi yako usiingizwe mkenge ukawa biased.