CCM wangekuwa against hii issue wangeivumbua mapema kwa sababu wana full access na mambo yanayofanyika, lakini walikaa kimya hadi pale issue ilipofunuliwa na mbunge wa upinzani sasa CCM nao wanajifanya kuamka! Hivi lusungo unataka kutuaminisha CCM hasa waandamizi wakuu hawakujua uwepo wa huu uharamia kabla ya mhe. Kafulila?
Dah.........Ni around kumi na nusu alfajiri napata Nondo za kufa mtu.....kha......nimekumbuka Shule Ndio ilikuwa midas yangu ya kuamka na kuchangamsha akili....... Heshima nene kwa JF.
Invisible
Mkuu wnagu heshima mbele, mimi naomba utuwekee kurasa hizi tu amabzo inasemwa zina majina ya walionufaika.
"Kurasa za 56,57,59... Zote zimenyofolewa, "
Relax mkuu situation is under control
CCM wangekuwa against hii issue wangeivumbua mapema kwa sababu wana full access na mambo yanayofanyika, lakini walikaa kimya hadi pale issue ilipofunuliwa na mbunge wa upinzani sasa CCM nao wanajifanya kuamka! Hivi lusungo unataka kutuaminisha CCM hasa waandamizi wakuu hawakujua uwepo wa huu uharamia kabla ya mhe. Kafulila?
Ukweli huchelewa lakini hufika kwa wakati mwafaka twendeni tutafika.
Kwa lugha nyepesi ni kuwa hawa "nguruwe"(CCM) walizidiana ulafi na kuanza "kudhulumiana"..Sasa kuna kundi jingine la nguruwe baada ya kuona "wamedhulumiwa sana" wakaamua sasa watamwaga ugali..na nguruwe wengine nao wanadai watamwaga mboga Siku ya kumwaga ugali na mboga ni jumatatu kwa hiyo mkuu jumatatu tembea na TV yako
Ndio kusema upinzani walipewa tu hizo datazi kutoka kwa nguruwe"wazalendo"..Wapinzani wakazimwagwa data uwanjani... na huyu mmwaga data mpaka sasa analindwa na hao nguruwe "wazalendo"
Ninavyojua mimi tushukuru huko "kudhulumiana" kwao ndo tumepata hizo data
We mkuu hujaona swala la katiba lilikuwaje!!!upinzani, wamelia wee lakini hawajasikilizwa na swala la katiba ndio muhimu zaidi lakini magamba wakalidharau..lakini hili la mkwanja wamejitokeza hawa magamba sio wakuwaamini mkuu..
Likiisha hili kuna jingine limeshaanza kufumuka..hili ni la ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hapo napo kuna hela ya kufa mtu, hii hela ya Singa wenyewe wanaiita hela ya ugoro hapa ndio CCM itakuwa ni kitimtimu maana hawa watakaojeruhiwa jumatatu lazima wafe na wale wa gesi
Kakobe atakumbukwa...
Na ni balaa kweli.........haina shaka nikutakie usingizi mwema.We amka endelea wengine tuliamka kitambo ngoja turudi kulala manake hii ni balaa
Yes against ukawa and no against mafisadi
mkuu Invisible pls kwa hali ilivyo sasa nadhani hujuma kubwa zaidi zinaweza fanyika hata kukata mawasiliano ya mkongo wa taifa wa mawasilino, au hujuma nyingine zozote zitakazokwamisha mawasiliano.
Ni bora umalizie tu mkuu. Hali ishachafuka sana. Kuna uharamia wa miundo mbinu unaweza fanyika tutashanaana hapa mkuu. mi silali naisubiri kwa kweli. hizo page ulizoweka hazisisimui kabisa, wakati bado mnashauriana weka kwanza zile page zenye majina ya Payees.
akina Bucha la nani?