Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Na wewe upo tu? Saa zote unafatilia post zangu?
Mkuu unachoshauri ni ‘takethe bull by horns''Tatizo ni kuwa tunasema Ikulu inahusika, lakini tunasahau kuwa ikulu ni jina la jumla, kuna individuals ikulu ni vizuri wakitajwa moja kwa moja.
NI vizuri mamba akiitwa mamba tukimwita reptile watu wanaweza fikiri mjusi.
Mkuu wa nchi yumo. Amepewa vyombo vyote vya dola, hana excuse ya kusema kashauriwa vibaya. Mkuu wa nchi, Rais yumo katika Escrow
sasa hivi ni Pandora box, unachotaka ni kufungua ...worms''.Mmh. Mbona naona maelezo ya BOT na viambatanisho vinaonyesha kwa documents hizi zilizowekwa hapa kama ulifanyika kwa uwazi, uaminifu, weledi na uadilifu wa hali ya juu with proactive mentality.
Hii hoja ya kusema Gavana awajibike inatoka wapi. BOT inenawa mikono kulingana na mipaka yake kiutendaji.
Hitimisho la barua kutoka Ikulu kwenye ofisi ya Rais inasema,
'Maamuzi ya Mahakama Kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG" By Jakaya Mrisho Kikwete!
Hoja ya msingi hapa ni kuelewa ni maamuzi gani yalifanywa na Mahakama Kuu?.
Je, maamuzi hayo yalitekelezwa kulingana na ushauri wa AG?.
Ni ushauri gani ulitolewa na AG?
Je, ushauri wa AG unaendana na makubaliano na mkataba?.
Je, ushauri wa AG ulijadiliwa kwenye kikao/vikao vya Baraza la Mawaziri?.
Matola wala hafuatili post zako dada yangu, ila anamuonya kuwa aachane na wewe kwa kuwa unaandika c r a p. Hawajui kwamba wewe upo hapa kwa kazi moja tu ya kuhakikisha unawasafisha mafisadi, na kweli unajitahidi ila hawasafishiki dada yangu. Hebu nenda kamuandalie shemeji chakula cha usiku. Na wewe dada yangu umezidi mno kila muda upo humu utaachwa na shemeji halafu utupe matatizo ya kukulea wewe na wapwa. Msalie mtume dada yangu nenda kamkande shemeji
Wote walioshiriki huu wizi sheria ichukuwe mkondo wake.
Hakuna anaesafishwa hapa Bali ukweli ubaki kuwa ukweli.
unataka kuja kumkanda wewe njoo tu.
Saa hizi chakula cha usiku au daku? Usitake kuchekesha watu.
Hilo jina umelipenda eeh?
Ni kweli mkuu hatobaki mtu tunaanza na Benki ya Kanisa ya Mkombozi imetajwa humo pesa za watanzania ndiyo zilikuwa zinagawanwa.Sheria ikichukuwa mkondo wake Lumumba hatobaki mtu na wewe buku 10 hutozipata tena
Kumbe usalama wa taifa nao wanahusika nchi hii basi
Jamani Mkuu wa nchi, Rais ameshiriki. Ameshiriki kikamilifu kutumia rungu lake kuidhinisha uovu. Mkuu wa nchi ni mshiriki muhimu sana wa kashfa hii.
Ni kweli mkuu hatobaki mtu tunaanza na Benki ya Kanisa ya Mkombozi imetajwa humo pesa za watanzania ndiyo zilikuwa zinagawanwa.
Unajua kama Askofu Kilaini nae alichukuwa milioni 80?
Kumekucha.
Sijui kwanini hujitambui kiasi hicho,sijui kwanini akili yako haijui kuchambua mambo kiasi hicho,sijui kwanini hata unachofanya hukijui.Sijui kwanini bado Kikwete ni Mkuu wa nchi,sijui kwanini Ofisi ya waziri Mkuu ipo,Sijui kwanini serikali bado ipo madarakani,sijui kwanini kitengo cha Usalama wa Taifa Kipo,Sijui nani ameloga Watanzania na Taifa kwa ujumla! Kwa hali ya mambo ilivyo sasa nadhani ni wakati sasa wa serikali kukasimisha madaraka kisheria kisha watendaji wote wawaombe radhi wananchi,kisha waburuzwe mahakamani na baada ya kesi zao kuisha wafilisiwe mali zao kasha tukiona inafaa tuwatenge kabisa ama watafutiwe pori waishi huko.
Unajua kuwa mwenyekiti wa chama chako kachukua fedha ndiyo maanq haji bungeni.Sheria ikichukuwa mkondo wake Lumumba hatobaki mtu na wewe buku 10 hutozipata tena
Bangi bangi bangi na viroba.wakati nilipoleta uzi humu kuwa la profeseri amekaliwa kooni na watu wa west/America kuhusu ESCRAW na mambo ya kujipendekeza kwa china na Russia kuna watu walikesha wakibisha,
JK alishaujua kuwa hii issue itamuumbua so akaanza kuwakimbia west/America taratibu, but wakamshitukia. Sasa kapewa order ambayo kama atakubaliana nayo tu basi hii nchi anzeni kuhama mapema,