JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

sasa kwani PAC kazi yao nini?,unataka rais aingilie kabla kina zito hawajamaliza kazi yao halafu uje hapa kulia rais ameingilia uchunguzi?.
we nyamizi unasumwa na ushabiki
 
BOT mkuu wameturahisishia kazi. Maana watu wamekuwa wakiwatetea wakuu wan nchi kuwa hawakufahamu hili ambapo siyo kweli kabisa.
 
Mpaka sasa kitendawili kimoja kimeteguliwa, Ikulu ilihusika katika uhamishaji wa fedha kutoka BOT kwenda IPTL kulingana na maagizo ya Raisi yaliyotolewa kwa PST tarehe 13 November 2013. Na hizi ni rasharasha tu mvua za vuli bado...msishangae akina FaizaFoxy wakizidi kukosa usingizi; tunavyokaribia mfupa nyama inazidi kuwa tamu. Fedha bado zimechimbiwa hapa hapa ardhini kwetu, hazijavuka mpaka na viti walivyovikalia wezi wetu vinazidi kuwa vya moto. Hongera JF!
 
Last edited by a moderator:
sawa kabisa,sasa rudia walichosema bot kuhusu capasity charge,utaona kuwa waliweka masharti kuwa ili watoe pesa sharti mojawapo tanesco na iptl wafanye recalculation ya capasity charge wakubaliane ndo pesa itoke
 
Last edited by a moderator:
Itafute wewe hukumu, unaniuliza mimi? Kikwete kashauri "Maamuzi ya Mahakama kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG".

Kuna fedha zimetajwa hapo zitolewe kama ulivyoandika mwanzo?

Nini usichokielewa hapo ewe punguani?

Leo hadi uote korodani. Asubuhi nlikwambia mmekwiba kodi yetu bila ya kuzishirikisha mamlaka husika, ujaifanya mjuaji. Subiri, lazima ukeketwe kama mwenzako aliyekeketwa huko kwa obama
 
sawa kabisa,sasa rudia walichosema bot kuhusu capasity charge,utaona kuwa waliweka masharti kuwa ili watoe pesa sharti mojawapo tanesco na iptl wafanye recalculation ya capasity charge wakubaliane ndo pesa itoke
BOT walikuwa agent tu. Kwa maelezo yao mimi naona wako sawa. Wamedadavua mengi na walikuwa more proactive
 
Ukisoma huelewi basii hata picha huoni?

"Maamuzi ya Mahakama Kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG" By Jakaya Mrisho Kikwete!
 
Siri wengine tulishajionea hichi ni kitenda wili na porojo za siasa...tulijiuliza iweje mtu azalishe umeme na kuwe na mkataba halafu kuwe na ugomvi kati ya wana hisa na baadae kuamriwa wapewe fedha yao iwe ni kashfa
tulijaribu kutafuta sababu za kashfa hatukuziona.
leo ripoti hii inaonesha wazi juu ya taratibu zilizo fatwa mpaka fedha zile zikarejeshwa kwa wahusika.
hakuna kashfa wala kuwashwa
 
Leo hadi uote korodani. Asubuhi nlikwambia mmekwiba kodi yetu bila ya kuzishirikisha mamlaka husika, ujaifanya mjuaji. Subiri, lazima ukeketwe kama mwenzako aliyekeketwa huko kwa obama

Umekosa hoja unaanza kuhororoja na kubwabwaja .
 
Umekosa hoja unaanza kuhororoja na kubwabwaja .
Wewe ndio uliyekosa hoja. Niliwaambia nyie ni wezi. Na nikakushikia chini kwenye suala tu la kodi sikuingia kwingine, ukajifanya wee ndo unajua sana tax evasion na avoidance. Hovyoooooo....na lazima mnye wiki hii.
 
Itafute wewe hukumu, unaniuliza mimi? Kikwete kashauri "Maamuzi ya Mahakama kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG".

Kuna fedha zimetajwa hapo zitolewe kama ulivyoandika mwanzo?

Nini usichokielewa hapo ewe punguani?
halafu huyu si ndo mmiliki wa gazeti la jamhuri,mbona kama anaongea ugoro?
 
Mi najiuliza hv hz pesa ni za nani?na kama alilipwa mwenyewe kwa nn tunashabikia kama zetu, mi naona inshu hii inahusu personal damage zaidi than public,thats my view anyway
 
Wewe ndio uliyekosa hoja. Niliwaambia nyie ni wezi. Na nikakushikia chini kwenye suala tu la kodi sikuingia kwingine, ukajifanya wee ndo unajua sana tax evasion na avoidance. Hovyoooooo....na lazima mnye wiki hii.

Uliipata pata, ukaingia mitini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…