RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,762
Mkuu Invisible umejipangaje maana bado tunakupenda.. hatuko tayari kukupoteza..
haya mambo yanafuata process sio kukurupuka,sasa ni mda wa bunge,part y rais kuact haijafika na hawezi kuingilia,ndo maana ya kuwepo PACSasa kama yana baraka za Rais kinamshinda nini kufanya maamuzi magumu mara moja tukamaliza hii sintofaham? Kwa hiyo unataka tuamini huko USA kaenda ili awaache walio chini yake (watoto) waparurane utadhani hakuna baba mwenye nyumba?
Kikwete yeye huwa hachuji ushauri na mara zote hupotoshwa
Wanapungua bana ....we vipi?
Tunasubiri, tukiwa hai ukweli utajulikana, lakini nionavyo nguvu inayotumika mitandaoni kuuaminisha uongo ni imesha flop na haina mshiko.
Ngoma ikivuma sana hupasuka.
Hakuwa na heshima yoyote huyuHivi anasubiri nini huko Marekani alipo,atapata heshima zaidi kama atampa msaiidizi wake ''RESIGNATION NOTICE'' ya saa 24 aikabidhi bungeni kabla hajaumbuka zaidi.Heshima yooooote aliyokuwa nayo kwa sasa imeyeyuka kama bonge la barafu.
Hiyo Inatosha kumuwajibisha "ki-Politik" ...! piaLakini alicheza politics pia. kwamba kama ilivyoshauiriwa na Attorneys General.
Naanza kuunganisha dots kwa nini Rweyemamu ali disclose ugonjwa wa rais haraka haraka kitu ambacho si kawaida yake hasa ukizingatia ugonjwa wenyewe.
Huu uzi simuoni mwenye id ya Faizafox....alikesha uzi mwengine unaofanana na huu akitetea serikali ya jk....
Hii kashifa sawa na Richmond ndo maana walishindwa kuvuana gamba....el akakanyaga moto chini akiutaka urais kama walivyokubaliana....sasa si jui bado anautaka au amebadilisha mawazo.