JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Jamani tunatumia simu,mbona hamzungumzii hizo pages zina madudu gani.naona mnachambana tu
 
Kwani kipi kinashindikana hapo Dada yangu FaizaFoxy ?

Watu waliweza kunyofoa za Mh.Jumbe itakuwa kwa CAG?

Muhimu tusubiri Bunge ukweli utajulikana.

Naam, ndio hicho nnachosema siku zote, tusubiri ripoti kamili na rasmi ikiwasilishwa na Zitto bungeni.

Hii za mitaani, si mnaziona> hazina implication yoyote. Hata hii aliyoweka Invisible imeminywa, ona inapoishia 2.2.3., hapo ndio mwisho?

Sikioni cha maana na wengi watakuwa disappointed.
 
Last edited by a moderator:
.... Mkuu Vip Na Wewe Ulipata Kamgawo Nini? Mbona Unatetea Wezi. Hebu Ona Aibu Mkuu

Hao wezi wako wapi? si muiweke ripoti basi tuwaone? mpaka sasa naona kuna wezi hewa tu.
 
Njoo Lumumba, kwani unavyoambiwa siku zote kuwa eti tunalipwa buku saba ulikuwa huamini?

Umezisoma kurasa zilizonyofolewa? kuna kipya cha zaidi?

Anzeni nyie kuonyesha cha zamani kwenye hizo pages..
 
Ignorance is like a dark night and a good name always shines in the dark!

Ignorance is a magnet for preconceived idea!

Hivi mtu mwenye akili pevu anaweza kuamini kuwa Copy zote za ripoti zimeibiwa au page zimenyofolewa wakati wajumbe wote wa Kamati ya PAC wana original copy achilia mbali ofisi ya CAG na TAKUKURU.

Waacheni kwanza wabunge wafanye kazi yao waliyotumwa na wananchi.
 
Naona umekasirika, ulioyakuta hukuyategemea? usikasirike, huo ndio ukweli.

Mtaumia roho zenu sana mwaka huu. Hamna jipya zaidi ya kutukana na kusema uongo.
.....Kwani kukuambia ukanawe nanihii kakutukana au kakukumbusha tu?
 
Njoo Lumumba, kwani unavyoambiwa siku zote kuwa eti tunalipwa buku saba ulikuwa huamini?

Umezisoma kurasa zilizonyofolewa? kuna kipya cha zaidi?

... Ushamaliza Kazi, Kaciukue Buku 7 Yako
 
Jaina jipya? Isingekuwa na jipya Chama cha Majambazi mngelikuwa manajapa upepo? Kina pinda wanatamani kikombe kiwaepuke wewe unaleta utumbo hapa? Hadi Prof Busha anatetemeka huko aliko.....:becky::becky::glasses-nerdy:

Si hizo karatasi zinazosemekana "zilizonyofolewa" zimebandikwa hapo juu, kiko wapi?


Tukiuliza, zimenyofolewa pia kwenye kompyuta za CAG? za PCCB za Zitto Kabwe? za speaker wa bunge? hakuna anaekuja na majibu.

Hivi haupo disappointed?
 
..........Invisible, weka pages zote zilizonyofolewa hapa. Nataka nizi-download kisha nisambaze kwa wauza duka, mihogo, vitumbua na chapati, hiyo itakuwa njia nzuri ya kuwafikishia wananchi wote hapa mtaani kwetu waweze kusoma zile zilizonyofolewa.
 

Dah! naona upo disappointed kweli kweli, vipi? nyimbo ya escrow ime-flop?
 
..... Hii Nchi Inabidi Duchapane Kwanza Ndo Heshima Itarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…