kwa nini tusiandamane kwenda JWTZ-UPANGA?
Sijui kama usiku wa leo ulipatiwa haki yako vizuri...umeelewa lengo la Invisible kuleta huu uzi..Kijana mbona unakurupuka, na wewe umeingia mkenge kwa uzushi wa mitaani kuwa ripoti eti imenyofolewa kurasa?
Hizo zilizowekwa hapa ni nini?
Na sijaona chochote cha kuonesha wizi wowote kati ya hizi kurasa zilizowekwa hapa.
Nashindwa hata kuwafikiria mkoje, yaani ni zaidi ya misukule.
Tuliza papa hilo, wajanja wa ccm wapo kwenye hiyo list.......wewe mtoka povu kazi yako ni kushabikia wenzio watengeneze neema zao.
Watu tunayoripoti....Ikitoka wapi...?Msomw vizuri Invisible ameandika maneno ya busara wacha kukurupuka na kushutumu watu wakati hauna ushahidi.
Invisible ameandika "asionewe mtu wala asilindwe mtu".
Mpaka sasa naona makurupuka na kuonea watu kuwaita ni wezi ilhali hizi kurasa chache zzilizowekwa humu hakuna implication yoyote ya huo wizi? kulikoni?
Nilisema, ripoti ikitoka watu watabadili nyimbo na bado nnaendelea kusema hivyo hivyo.
kwa nini tusiandamane kwenda JWTZ-UPANGA?
Invisible nakushangaa unaposema "taarifa za kuanza kunyofolewa kurasa za ripoti hii", unajishusha hadhi yako. Ripoti za mitaani kuchomolewa kurasa wewe au mwingine yeyote wa karne hii zinamstuwa?
Ripoti kamili na rasmi zipo, na wala hizo za mitaani zisikufanye ukakurupuka. Ngoja Zitto aziwasilishe ka mujibu wa kanuni na sheia za bunge, kama zitakuwa mbadala na zile za CG na PCCB hapo ndipo utakuwa na la kusema, kwa sasa chunga hadhi yako usiingizwe mkenge ukawa biased.
Sijui kama usiku wa leo ulipatiwa haki yako vizuri...umeelewa lengo la Invisible kuleta huu uzi..
Unakurupuka na majanaba yako unakuja kuhorojoka hapa..
Pita kuleeee...shwain wewe
Kwa lipi zaidi? mmetaka kurasa zilizonyofolewa, hizo hapo zimeletwa, kuna kipi zaidi hapo?
Anza maandamno ule virungu, unawajua FFU lakini au unawasikia tu?
Kanawe janabaKwa lipi zaidi? mmetaka kurasa zilizonyofolewa, hizo hapo zimeletwa, kuna kipi zaidi hapo?
Anza maandamno ule virungu, unawajua FFU lakini au unawasikia tu?
Naona sasa unaanza matusi bila mpango.
Lengo la invisible ni kuwajulishaa kuwa ripoti kamili ipo, nini zaidi? nyie mnafata ripoti za mitaani eti "zimenyofolewa", nani aliyerusha huo uongo? kituo hicho hicho cha dalali?
Jiulizeni, walinyofoa na kwa CAG? walinyofoa na PCCB? walinyofoa na kwa Zitto.
Hebu fikirini japo kiduchu, msiwe zaidi ya misukule.
... Lioga Hiloo, Lione
Unajua lengo la mafisadi kuchomoa kurasa hizo..??
Kiko wapi? kurasa "zilizonyofolewa" si hizo hapo zimewekwa? zina nini zaidi?
Subiri kijana upate ripoti kamili. Usiwe na munkar.
Tuliza kisabengo ajuza wewe...
Nakwambia tena wewe uwezo wako unaishia kwenye kutetea chama na kupayuka....ili kuwatengenezea neema wajanja wazidi kupiga pesa.
Wenye chama chao wapo kwenye mgao, we umo?
Kanawe janaba