pouwa. ila ataishia getini
Nicas Mtei mehbuba wangu lazima niingie naye........hunifanya woga wote unaisha, presha inashuka, maumivu yanaisha! na mwishowe napona kabisa na hivyo nakuwa sihitaji dawa ya daktari yeyote yule zaidi yake sosoliso wangu tuanajua anachokuja kufanyiwa huku
Nicas Mtei mehbuba wangu lazima niingie naye........hunifanya woga wote unaisha, presha inashuka, maumivu yanaisha! na mwishowe napona kabisa na hivyo nakuwa sihitaji dawa ya daktari yeyote yule zaidi yake sosoliso wangu tu
hiiii kali..... si mnakutana kabla au
lakini hii safari ya porini ni muhimu kila tent kuwe na mwanaume kwaajili ya ulinzi zaidi
KakaKiiza.
Ina maana mie siko kwenye listi?
unamfanya nini Passion Lady???
hahahahaha.
Ruttashobolwa mjibu amuunamfanya nini Passion Lady???
huyo nduguyo kataka mwenyewe kwanza alinitaka kwa thread nimemuacha kwa comment
Ruttashobolwa mjibu amuunamfanya nini Passion Lady???
huyo nduguyo kataka mwenyewe kwanza alinitaka kwa thread nimemuacha kwa comment
Tena wewe Madame B na Ben Saanane Njooni muone! Nitawasakizia simba awale mapaja.