huyu atakuwa ananena kwa lugha
Sio Jiniasi... ni chiziKweli mtoaa mada ni jiniasi sijaelewa kuanzia heading mpaka yaliyomo ndani.
Ambiente Guru , huo ni wimbo ama kitu gani? Sijaelewa/hueleweki? La sivyo ujitetee "...ni kwa nini huu uzi wako usifutwe"?
Funguka badala ya kumwaga mitusi humu. HATA akina Sadani Kandoro na Shabani Robert huwajui. Majanga ya Div VSio Jiniasi... ni chizi
Yaani kuanzia title hadi content sijaelewa kabisa labda mtoa mada ni jiniasi.
We unaleta vitu visivyoeleweka halafu unaatach na mipicha ya kihindiFunguka badala ya kumwaga mitusi humu. HATA akina Sadani Kandoro na Shabani Robert huwajui. Majanga ya Div V
Sii ufunguke Mkuu kama una jambo.Hii naona imekaa stail ya mmu kule ndio mahali pake au.
Ambiente Guru , huo ni wimbo ama kitu gani? Sijaelewa/hueleweki? La sivyo ujitetee "...ni kwa nini huu uzi wako usifutwe"?
Weka link!Kasome thread yangu ya kitabu cha UFOS na ya Mmea wa ajabu uje niambie.
Ambiente Guru , huo ni wimbo ama kitu gani? Sijaelewa/hueleweki? La sivyo ujitetee "...ni kwa nini huu uzi wako usifutwe"?
We unaleta vitu visivyoeleweka halafu unaatach na mipicha ya kihindi
halafu unajifananisha na Saadani, ah no bila shaka utakuwa ni sawa na
yule mfalme aliyetembea uchi halafu akauliza kama mavazi yake yameprndeza
mkuu kwani hujawahi kuona kichaa yoyote mida ya jioni,akiwa kakalia jiwe nje huku akihisi mida ya kuchomwa sindano na dr imefika,huwa wengi wananena kama huyu,na humalizia kwa kudondoka chali kama mgonjwa wa kifafa,tembeeni muone
ama kweli bubu na kipofu wakigombana tatizo ni atakaye kuja kuwasuluhisha kesi inahamia kwakeNdio dokta "nimekuja" Lakini niko nje
Ndiyo dokta "Nimekuja" Lakini sijachukua dawa
Ndiyo Dokta "nimekuja" lakini nimeishia mlangoni
Ndiyo Dokta "Nimekuja" Sindano nimesahau
Ndiyo Dokta "nimekuja" Vipimo nimesahau
Ndiyo dokta nimekuja, AHAAA NILISAHAU....
UGONJWA WAKO NI KICHAA... YAANI UNA MATATIZO YA AKILI
BILA SHAKA NIMEKUJIBU MIMI NI DOKTA WAKO.
ama kweli bubu na kipofu wakigombana tatizo ni atakaye kuja kuwasuluhisha kesi inahamia kwake
Inawezekana lakini kama haya mambo yangekaa kwenye jukwaa la lugha nafikiriJambo usilolijua litakusumbua bure rafiki yangu