JF Dr, Amelia "Ninakuja" halafu akazimia

JF Dr, Amelia "Ninakuja" halafu akazimia

Inawezekana lakini kama haya mambo yangekaa kwenye jukwaa la lugha nafikiri
huu mgogoro uliouanzisha hapa usingetokea.

Asante Mdau kws kukiri ujumbe unefanikiwa. Kufanikiwa kwa thread ni.pale inaposababisha mgogoro au PROVOCATION.
 
[QU
Hahahahahahahahahahahaha khaaaa umenifanya nicheke baddala ya kushangaa mkuu duh.
You know wengine mna bahati sana kukutana na Ma-Doctor na Maprofessor humu JF. Ze problem is you don't understand this.\
 
[QU
You know wengine mna bahati sana kukutana na Ma-Doctor na Maprofessor humu JF. Ze problem is you don't understand this.\
Hahahahahahahahahahaha dah umezidi kunivunja mbavu sasa madr wenyewe wana lugha ngumu aisee manake namna hii utaelewa nini jamani. Khaaa kama bahati iko hivi basi tena
 
We unaleta vitu visivyoeleweka halafu unaatach na mipicha ya kihindi
halafu unajifananisha na Saadani, ah no bila shaka utakuwa ni sawa na
yule mfalme aliyetembea uchi halafu akauliza kama mavazi yake yameprndeza
tehe tehe teheeeeeee,mkuu unamzungumzia mfalme juha au mwingine lol!
 
Ngoja nifikirie mji wa kumpa mleta mada...
 
Thread zote za huyu jamaa huwa mfano kama ile ya UFOS.
 
tehe tehe teheeeeeee,mkuu unamzungumzia mfalme juha au mwingine lol!

Hicho ni kisa cha mfalme mwingine ambaye alikuwa anapenda sana kusifiwa kwa mavazi
yake. Akadanganywa na fundi......................
 
Back
Top Bottom