Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Amelia "ninakuja" wakati alishapokelewa kituo cha basi
Amelia "ninakuja" lakini yupo ndani ya jumba
Amelia "ninakuja" lakini yupo ndani ya chumba
Amelia "ninakuja" lakini yupo ndani ya wigo
Amelia "ninakuja" halafu akakoma kunena
Amelia "ninakuja" halafu akadondoka
Amelia "ninakuja" halafu akazimia
Amelia "ninakuja" ndio sababu kumwita dokta
Dokta niambie ni ugonjwa gani huu?