Jf doctors | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jf doctors

Discussion in 'JF Doctor' started by tbl, Dec 1, 2011.

 1. tbl

  tbl Senior Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nahitaji sana majibu yenu "why mosquitoes does not transmit HIV" thank you!!!
   
 2. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ONLY medics should answer this or anyone. Let me try, mosquito sucks blood, to its mouth then to its gut. HIV virus can not survive anywhere except except in humans. So in the mosquito gut or mouth it can not survive and looses its infectiousness.

  And so when a mosquito sucks blood from another host it cannot transmit the 'infectious' HIV virus
   
 3. tbl

  tbl Senior Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yoyote mwenywe uhakika na jibu lake. thanks @ L
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Lasikoki, sio kweli ulichoongea,nice try though. Si swali la medics tu.hata walosoma wadudu wanaweza jibu
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Tbl, mbu (sio wa jf,lol) anapohitaji kunywaji chake kutoka kwa binadamu kwanza anatoa mate fulani ambayo yana sumu inayolainisha ngozi ili aweze kupenyeza mdomo wake. Mate haya ndo husababisha muwasho na pengine kuvimba kwa wale wenye ngozi sensitive. Yale mate ndo huwa na vijidudu vya malaria. Wakati ameshalainisha ngozi, mrija mwingine (proboscis)hupenya kufyonza damu/kisusio. Kwa hiyo jibu ni kua kifyonzeo cha damu ni tofauti na king'atio. Malaria inaambukizwa na king'atio. Kifyonzeo cha damu ni kwa ajilo hiyo tu na mbu anakua hana backward flow ya tumbo ( kwa maana hiyo hawezi kukutapikia damu ya mwingine)
   
 6. tbl

  tbl Senior Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thanx @ King'asti, sasa kuna sehemu nimeona hizi ndo head parts zake but kazi zake hazijaandikwa naomba unitajie hizo parts ulizondika hapo ni zipi,? 1,compound eye 2,tentacle 3,palpus maxillaris
  4,maxilla 5,mandible 6,labium 7,labellum
   
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  TBL (haya majina mengine na ijumaa hii mtatufanya tutoroke kazini)...pamoja na majibu mazuri ya dada King'asti, ningependa kuongezea kama ifuatavyo:

  Mbu anapokuuma huwa anatoa hayo 'mate' ili kufanya damu isigande wakati akifaidi kuinyonya, haya mate ndio huwa yanabeba vijidudu vya malaria (Plasmodium) hivyo akiyatoa kwenye damu yako anakuambukiza. Na vijidudu hivi vya malaria vinafika kwenye hayo mate kwa sababu mbu anapofyonza damu ya mtu mwenye malaria, vile vijidudu katika hali ya mbegu vikifika tumboni, hupenya ukuta wa tumbo na kudevelop kuwa katika hali ya kuweza kushambulia chembe chembe nyekundu za damu. Vikishadevelop ndio vinakuwa katika matezi ya mate ya mbu huyo kusubiri anapouma ili vimwagwe kwenye damu na kusababisha malaria.

  Virusi vya HIV havidevelop kwenye tumbo la mbu, wala havifiki kwenye matezi ya mate ya mbu...hivyo mbu akiuma mtu mwenye HIV, virus wale hufika kwenye tumbo la mbu na kuishia hapo. Na hivyo...mbu hawezi kuambukiza HIV.
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
   
 9. tbl

  tbl Senior Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Usitoke kazini ndugu wagonjwa unatuachaje,karibu tbl hapa.Thank u sana @Riwa ,
   
Loading...