Jf doctor kugoma?

Jf doctor kugoma?

marejesho

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
6,634
Reaction score
3,660
Madaktari wametangaza mgomo rasmi kesho tarehe 24 Jan!!Je nyie mtasupport?Tunaomba kujulishwa mapema,hatutaki suprise!!!
 
Sisi tuko kiJamii zaidi, na si kimaslahi na ki-Nyongeza....Wala hatushinikizi Katibu Mkuu ajiuzulu!
 
hatufanyi tukio?
Napenda viranga kama maandamano
yako kwenye damu, sijui ni ugonjwa??
 
hatufanyi tukio?
Napenda viranga kama maandamano
yako kwenye damu, sijui ni ugonjwa??

mgomo baridi mkuuu!! hata kazini tunaenda kusaini ila hatushiki sindano wala groves hatuvai....!!
 
Kuna waganga wa tiba za asili ya kiafrika nadhani watawakilisha.
 
mgomo baridi mkuuu!! hata kazini tunaenda kusaini ila hatushiki sindano wala groves hatuvai....!!

yep!
Wenyewe wanaita 'tools down'...
Hapo ndo FFU na migari yao ya kuwasha wanapozodoka!
 
Tunagoma ktk vituo vyetu ila tuko Pamoja kwa udaktari wa mtandaoni
 
Mi hata sigomi, naogoba mabomu ya machozi na virungu.
POPOOOOO!
 
Back
Top Bottom