JF diaries

I've learnt this the hard way.
 
Lissu treason case appearance: vs bunge: 112,994 views Streamed 4 hours ago
No description has been added to this video.
 
Ulinzi wa Lissu Leo tar 2.6.2025 toka mahabusu
Your browser is not able to display this video.
 
Vibaka waliovalia baibui wakimsulubu mwananchi huko Zanzibar.. Hata hivyo baada ya msako mkali walikamatwa wote.. Vibaka hao umri wao ni 16, 17 na 22
Your browser is not able to display this video.
 
Because this is dairy threads I hope after 20 years from now kutakuwa na kizazi kipya ambacho 90% ya maeneo yao ya Kazi (Working place) itakuwa ni mtandaoni .✌🏿📌🔨🙏🏿
 
Kanisa la Gwajima lafungwa
Barua kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani, Ofisi ya Msajili wa Jumuiya inasomeka kama ifuatavyo:-

KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA KANISA LA GLORY OF CHRIST CHURCH - KANISA LA UFUFUO NA UZIMA

Chini ya Kifungu cha 17(b) na kifungu cha 2 cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337 kama kilivyorekebishwa na kifungu cha 39(b) cha Sheria ya Marekebisho Mbalimbali ya Sheria Namba. 3 ya Mwaka 2019

Tafadhali, rejea somo tajwa hapo juu.

2. Katika siku za hivi karibuni, kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, umeonekana ukiwa katika mimbari ya Kanisa la Glory of Christ Church @ Kanisa la Ufufuo na Uzima, ukitoa mahubiri yenye mwelekeo wa kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na wananchi. Vitendo hivi ni kinyume cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337na vinaweza kuhatarisha amani na utulivu nchini.

3. Kwa Mamlaka niliyopewa, Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia inafuta usajili wa Glory of Christ Church @ Kanisa la Ufufuo na Uzima, kuanzia leo tarehe 02 Juni 2025. Hivyo, unatakiwa kusitisha shughuli za Kanisa lako mara moja.

4. Chini ya kifungu cha 19(1) cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, Kanisa lina haki ya kukata rufaa juu ya uamuzi huu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia kwa Katibu Mkuu, ndani ya siku 21 kuanzia tarehe ya barua hii.

5. Kwa Amri ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia.
 
Namba za wafuatiliaji wa hii KESI online kupitia Youtube ZINATISHA.

MAHAKAMA: 15K viewers

Mwanzo TV : 1.4K viewers

Mwananchi Digital: 1K viewers

millard Ayo : 17K viewers

Jambo TV : 670 viewers

Zamaradi TV: 630 viewers

#FreeTunduLissuNow
 
Your browser is not able to display this video.
 
Gwajima bado anatrend
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…