Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,243
Oooh, kumbe kuna codes? Ngoja nianze kufungua PM za hao waliochangia!! Hapa ni mambo ya kuhack tu account za watu! Chezea Rejao wewe!!
Wengine wamechangia kwenye vibanda na maduka ya M-pesa na tigo pesa!! Hawakutaka namba zao zifahamike!! So hoja ya namba kufahamika haina mashikoNamba za simu za waliochangia zinajulikana, utaumbuka pua kubwa,
Hahahaha...ogopa mtu anayekuwambia ataingi kwa stahili hii halafu anafanya kweli na unashindwa kuiblock plan yake!! Tutakutana ndani mzee!!Plan ya kuzamia haitangazwi hadharani. Tukikutana ukumbini ndio ntakufahamisha nimeingiaje.
Hahahaha...nimepekua PM zako zote bado sijaiona!! Labda kuna mjanja zaidi yangu keshainyakua..lolNdio maana sijapata hiyo code..ushaninyakulia nini
Aise Nicas Mtei lazima nitie maguu. Vp wewe, utakuwepo?oya White Rejao usikose kukuja.
Aise Nicas Mtei lazima nitie maguu. Vp wewe, utakuwepo?
Party inafanyika ndani ya Hotel na si garden.
Rejao na Nicas Mtei nyie wote hamjatoa,sasa sijui mnapeana matumaini ya wapi!
Na nyote nawajua sasa Ole mzamie,nawapa LIFE BAN.
Mi nitakuja na hela yangu mlangoni...Rejao na Nicas Mtei nyie wote hamjatoa,sasa sijui mnapeana matumaini ya wapi!
Na nyote nawajua sasa Ole mzamie,nawapa LIFE BAN.
Wish you lucky and lots of enjoyments guys
Party inafanyika ndani ya Hotel na si garden.